Nani wanamshauri rais TZ? - Lazima tutafakari hili...

Ukweli ni kwamba Rais na washauri wake sidhani kama wanafanya kazi kwa ulegevu bali ni fikra zetu zinatutuma hivyo. Sitetei bt hakuna institution yoyote duniani inayofurahia matatizo yaliyopo nchi mwao. NDUGU zangu tuelewe kwamba matatizo yaliyopo nchini mwetu ni mengi na kamwe hayawezi kumalizwa kwa miaka kumi tu. Fikiria kwa nchi ambazo zimeendelea tumeshuhudia kukiwepo na malalamiko ya mambo kadhalika kama ajira, huduma za afya,mishahara midogo,nyumba ije iwe Tanzania jamani? Tukiunganisha nguvu kwa pamoja TUNAWEZA.

CHAHGES NI MIMI, NI WEWE NA YULE.........GOD BLESS TZ
Hapo kwenye red ndio umenichosha kabisa. Yaani wewe haya yoooote yanayotokea huyaoni kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kwa mwendo huu TZ bado ina safari ndefu. Anyway Nauhesimu mchango wako.
 
Kwa kuhitimisha..labda ifike sasa mahaliswala la rais kuwa na washauri iwekwe rasmi kwenye katiba yetu mpya...na mambo ya msingi ya kutolea ushauri kwa rais yaainishwe....yakiwemo maswala ya kisiasa....kidini....kiuchumi..kiafya..n.k..n.k..
Kuwalaumu washauri ni kama vile kosa tu hapa, kwa maana tunaambiwa kuna mapendekezo mengi sana yamesha andikwa na ma-expert wa kitanzania karibu katika kila social and economical issue hivyo its matter of reading and understanding na mtu hachukue perspective ya maendeleo ya watu wake based on professional researchers advice.

Kwa maana hiyo tatizo ni viongozi ambao wanaingia madarakani without an overall national mission of their own, ndio maana unaona washabiki wa JK watakwambia the amount of investment he has managed to lure because of his travels.

Waulize the conditions of the investments and direct impact to many?. Maana kwa maoni yangu sanasana wenye magari watamsifu na wenye hela za kulala mahoteli how about the majority in poverty who do not benefit to alarge extent?

Utaambiwa kajenga shule na vyuo vingi, kuna point gani when the future is bleak based on examination results. Kwa maana hiyo priority ya raisi wa sasa ni infrastructure of the nation, who works there it will sort out itself sasa usishangae watanzania wakilalama na ajira za wageni katika sehemu zenye mishahara minono kwakuwa wao hawapo appropriately trained and disciplined kikazi.

Hiwapo raisi ameweka priority ni uwekezaji therefore his advisers are responsible to conjure up other national policies, loosale na hapo ndipo unapoweza uongozi wa JK ni wa aina gani maana there is no coordination whatsoever of an overall plan to improve anything.

Mfano BoT inaweka sera ambazo hazipo business friendly hapohapo waziri wa viwanda anasema watanzania wachukue nafasi katika kukuza biashara hela watatoa wapi au aoni interest rates ambazo BoT inaruhusu. Vyuo vinaongezeka wanafunzi watarajiwa ndio wanafeli who is to occupy those buildings in the future. Yaani in short there are no liaisons within ministries to oversee an overall mission of the government.

It tells you jamaa hakuwa na vision hivyo there is no mission on his behalf, kinachoendelea ni washauri kumshauri kimaslahi kwenye mengi kwa namna ya kiufisadi fisadi. No wonder yeye mwenyewe anashangaa matatizo kila kona, sehemu kubwa anayoweza itetea ni wawekezaji aliowaleta na kujenga sijui barabara na ku-explore our mineral resources at cheap.

Sasa usishangae matatizo ya tanesco na wawekezaji wake kutatua matatizo ya umeme (hizi ndio zile sehemu anaachia jamaa wajishauri na wajiamulie wenyewe yeye apige saini tu) yeye hayajali sio priority umeme ikulu aukatwi and so forth to do with your problems or of any other ordinary Tanzanian, other will decide on his behalf and he will sign what needs to.

Ukumbuki alipiga saini kuongeza kwa mishahara ya wabunge sijui na per diems zao halafu baadae ndio kuja kufahamishwa likaanza lunde akidai hiyo sio sawa halafu mpira akarushiwa 'Mizengo Pinda', raisi wetu nyie.
 
Rais ni kiongozi na kazi ya kiongozi anaongoza. Haongozi sura za watu pake yake, bali anasimamia mawazo yao kama yanavyoakisiwa na matendo yao.

1. Watu wote ambao rais anafanya nao kazi wameajiriwa based on their competencies.

2. They are paid based on their performances (or at least they should!)

3. Kwa hiyo watu aliowaajiri wamfanyie kazi - huwa anawaambia nini wanapoaribu

4. Washauri - huwa wanatoa ushauri kwa Kikwete, au wanaishauri Ofisi ya Rais

5. TATIZO HAPA NI KIKWETE, HAWEZI KUTAMBUA USHAURI , HE CANT MANAGE THE PROCESSES AND HE HAS ABSOLUTELY POOR JUDGEMENTS (as a president and as a person).

* Yule ana bahati ya nafasi za ulaji - lakini vinginevyo asingeweza hata kuwasimamia wanae! (kama amewasimamia).
 
Ukweli ni kwamba Rais na washauri wake sidhani kama wanafanya kazi kwa ulegevu bali ni fikra zetu zinatutuma hivyo. Sitetei bt hakuna institution yoyote duniani inayofurahia matatizo yaliyopo nchi mwao. NDUGU zangu tuelewe kwamba matatizo yaliyopo nchini mwetu ni mengi na kamwe hayawezi kumalizwa kwa miaka kumi tu. Fikiria kwa nchi ambazo zimeendelea tumeshuhudia kukiwepo na malalamiko ya mambo kadhalika kama ajira, huduma za afya,mishahara midogo,nyumba ije iwe Tanzania jamani? Tukiunganisha nguvu kwa pamoja TUNAWEZA.

CHAHGES NI MIMI, NI WEWE NA YULE.........GOD BLESS TZ

Unajua maana ya priority ndugu yangu.

Hakuna mtu anayetaka raising atatue matatizo yote katika muda aliopewa. Tunataka awe na vipau mbele.
 
Mkubwa..washauri wakubwa ni hawa wafuatao;-1.Wasira 2.Riz one 3.salma.k 4.kinana 5.mwigulu 6.lusinde 7.mulugo 8.rweyemamu yulee msemaji wa ikulu 9.ighondu 10.ghasia 11.kombani....hawa ndo wanaharibu kichwa cha rais....maskini kikwete!

Hii si kuchekesha tu bali nasikitisha pia. Yaani Ridhiwani amshauri baba yake wakati hata kutetea kesi za wateja wake hawezi for he is incompetent. Na hii ya Wassira naye kuwa mshauri wa rais ni haibu kwa kweli, if this is true, then Kikwete amekwisha kisiasa. Sera ama mitazamo ya wassira imepitwa na wakati and he has nothing new to prove. He has never done anything positive ndani ya chama wala serikalini. Inatia huruma.
 
Kuwalaumu washauri ni kama vile kosa tu hapa, kwa maana tunaambiwa kuna mapendekezo mengi sana yamesha andikwa na ma-expert wa kitanzania karibu katika kila social and economical issue hivyo its matter of reading and understanding na mtu hachukue perspective ya maendeleo ya watu wake based on professional researchers advice.

Kwa maana hiyo tatizo ni viongozi ambao wanaingia madarakani without an overall national mission of their own, ndio maana unaona washabiki wa JK watakwambia the amount of investment he has managed to lure because of his travels.

Waulize the conditions of the investments and direct impact to many?. Maana kwa maoni yangu sanasana wenye magari watamsifu na wenye hela za kulala mahoteli how about the majority in poverty who do not benefit to alarge extent?

Utaambiwa kajenga shule na vyuo vingi, kuna point gani when the future is bleak based on examination results. Kwa maana hiyo priority ya raisi wa sasa ni infrastructure of the nation, who works there it will sort out itself sasa usishangae watanzania wakilalama na ajira za wageni katika sehemu zenye mishahara minono kwakuwa wao hawapo appropriately trained and disciplined kikazi.

Hiwapo raisi ameweka priority ni uwekezaji therefore his advisers are responsible to conjure up other national policies, loosale na hapo ndipo unapoweza uongozi wa JK ni wa aina gani maana there is no coordination whatsoever of an overall plan to improve anything.

Mfano BoT inaweka sera ambazo hazipo business friendly hapohapo waziri wa viwanda anasema watanzania wachukue nafasi katika kukuza biashara hela watatoa wapi au aoni interest rates ambazo BoT inaruhusu. Vyuo vinaongezeka wanafunzi watarajiwa ndio wanafeli who is to occupy those buildings in the future. Yaani in short there are no liaisons within ministries to oversee an overall mission of the government.

It tells you jamaa hakuwa na vision hivyo there is no mission on his behalf, kinachoendelea ni washauri kumshauri kimaslahi kwenye mengi kwa namna ya kiufisadi fisadi. No wonder yeye mwenyewe anashangaa matatizo kila kona, sehemu kubwa anayoweza itetea ni wawekezaji aliowaleta na kujenga sijui barabara na ku-explore our mineral resources at cheap.

Sasa usishangae matatizo ya tanesco na wawekezaji wake kutatua matatizo ya umeme (hizi ndio zile sehemu anaachia jamaa wajishauri na wajiamulie wenyewe yeye apige saini tu) yeye hayajali sio priority umeme ikulu aukatwi and so forth to do with your problems or of any other ordinary Tanzanian, other will decide on his behalf and he will sign what needs to.

Ukumbuki alipiga saini kuongeza kwa mishahara ya wabunge sijui na per diems zao halafu baadae ndio kuja kufahamishwa likaanza lunde akidai hiyo sio sawa halafu mpira akarushiwa 'Mizengo Pinda', raisi wetu nyie.
...pengine tumempa rais (kikatiba)madaraka makubwa mno ya kuwa na final say kwenye mambo mengi ya kitaifa.....labda sasa way forward tuiweke kwenye katiba yetu mpya....kwa maana ya kujaribu kupunguza madaraka makubwa aliyonayo rais kwenye maamuzi mengi.....Kwa kufanya hivi tutakuwa tunapunguza mzigo kwa rais...haswa kama (kwa bahati mbaya)tutaendelea tena kuwa na rais boggus....
 
Rais ni kiongozi na kazi ya kiongozi anaongoza. Haongozi sura za watu pake yake, bali anasimamia mawazo yao kama yanavyoakisiwa na matendo yao.

1. Watu wote ambao rais anafanya nao kazi wameajiriwa based on their competencies.

2. They are paid based on their performances (or at least they should!)

3. Kwa hiyo watu aliowaajiri wamfanyie kazi - huwa anawaambia nini wanapoaribu

4. Washauri - huwa wanatoa ushauri kwa Kikwete, au wanaishauri Ofisi ya Rais

5. TATIZO HAPA NI KIKWETE, HAWEZI KUTAMBUA USHAURI , HE CANT MANAGE THE PROCESSES AND HE HAS ABSOLUTELY POOR JUDGEMENTS (as a president and as a person).

* Yule ana bahati ya nafasi za ulaji - lakini vinginevyo asingeweza hata kuwasimamia wanae! (kama amewasimamia).
...labda sasa tuamue (kwenye katiba mpya)kuondoa kinga ya kuhukumiwa rais baada ya muda wake(presidential immunity)....hii itasaidia sana kuondoa uzembe kwa marais wetu wawapo madarakani....haswa kwenye maamuzi yao...maana watajua wakiboronga tu wataadhibiwa....hata wakiwa nje ya madaraka....Nina uhakika hili likifanyika tz tutakuwa na uwajibikaji kwa marais wetu....haswa kwenye maswala ya kutumia madaraka vibaya kujilimbikizia mali.....Tuondoe presidential immunity kwenye katiba....watawajibika wakiwa madarakani.....
 
Semeni yote lakini hata rais mwenyewe in the first place anatakiwa awe na hekima, busara na weledi wa kutambua namna anavyoweza kuongea na wananchi wake. Mambo ya washauri yawe ni ziada tu.
 
Yaani this is too much haiwezekani hapa kuna jambo sio bure . Ni kina nani hao wanamfanyia kusudi hii. Yaani kila kukicha akitoa hotuba tu basi tegemea kuna mambo utayatilia mashaka au kuna watu wanataka kumfedhehesha.

Mkuu kushauriwa ni kitu kimoja na kukubali ushauri nikitu kingine.......wakati mwingine mawazo ya binadamu akishakuwa na cheo yeye anakuwa anajua kila kitu(Jack of all trade master of none).Inshort ashauriki mimi sina wasiwasi na uwezo wa washauri.
 
Khaa!maoni gani haya utamaduni unaozungumzwa hapa sio wa kikwere,kizaramo ni utamaduni wa kidemokrasia ambao Usa,uk ni founders,

demokrasia ilianza greece specificaly Athens, wengine waliiboresha tu.
 
mimi naamini washauri wa raisi ni watu wasomi wazuri tu, tatizo nafikiri ni unafiki wa wasomi hawa kutotaka kumuudhi raisi na kulinda ugali wao(tatizo ni njaa zinawasumbua) au raisi hashauriki

kwa mfano wachache ninaowafahamu ni wasomi tu wazuri kuna mtu anaitwa DR. NDUMBARO alikuwa mlimani anafundisha political science ghafla tukasikia amekuwa mshauri wa raisi, prof. mkandala pia ni mshauri wa raisi katika mambo fulanifulani ana wachumi madoctor na maprofesa kadha wa kadha alionao .........................
sasa kama watu wanaomshauri ni wasomi basi wasomi hawa wahatumii taaluma zao ila wanajipendekeza kumshauri yeye anayoyataka au wanaogopa kumkosoa kwa kulinda kazi zao au ni wanafiki tu kwa sababu wameshafanya mambo makubwa katika uwanja wa kimataifa kiutendaji.

tatizo la ubovu wa utendaji wa raisi unaweza kutokana kabisa na upuuzi wake mwenyewe au ubishi.
 
Ndugu Kiranga umenena! Watu huwa wananishangaza sana wanaposema kuwa raisi anadanganywa na washuri wake. That's nosense na upumbavu usiovumilika.

Raisi anajua kusoma na kuandika. Raisi ana macho na masikio. Kwa maana hiyo anaweza kupambanua maswala muhimu yanayowagusa wananchi na taifa kwa ujumla.

Kwa mfano, issue ya utendaji kazi na ukusanyaji mapato wa bandari. Bandari ya Dar imeoza kwa rushwa, uzembe, wizi na ubadhirifu wa mali za watu, taasisi na pia serikali. Watu na taasisi za ndani na nje wanapiga kelele na kulalamika kila siku. Wateja na nchi jirani wameishia kutumia bandari ya Mombasa.

What to do ( Solution )
Kutatua tatizo hili sio kutoa amri kwa waziri husika na wakuu wa bandari halafu yeye anaenda likizo na baada ya mwaka ndio anarudi kuulizia kama ufumbuzi umepatikana. La hasha. Cha kufanaya ni kukutata na waziri husika na viongozi wake yeye pamoja na timu yake at least once a week. Brainstorm solution and strategies on how to tackle the problems and initiate those solutions one at a time. Akifanya hivyo kwa miezi sita hadi mwaka mzima kwa idara muhimu za serikali, watanzania tutaona matunda ya nchi yetu.

Wakuu wa idara watakaoshindwa kufuatilia utekelezaji, wote wanatemwa. Tuone kama hawatafanya kazi. Simple like that. Akitenga siku moja ya wiki kwa kazi ya ufuatiliaji kama hii badala ya kusafiri na kwenda kwenye misiba kila siku, tutakuwa mbali sana. Zaidi ya hapo, kila siku tutalaumu washauri wa raisi. Na kibaya zaidi, kama hao washauri wa raisi wanamdanganya kila siku, mbona bado wako kazini? Kwa nini wasifukuzwe kazi?

We need to change.

ukweli ni huo na ni ushauri mazuri sana. Vinginevyo Hali ikiendelea kama ilivyo basi tujue imekula kwetu.
 
mimi naamini washauri wa raisi ni watu wasomi wazuri tu, tatizo nafikiri ni unafiki wa wasomi hawa kutotaka kumuudhi raisi na kulinda ugali wao(tatizo ni njaa zinawasumbua) au raisi hashauriki

kwa mfano wachache ninaowafahamu ni wasomi tu wazuri kuna mtu anaitwa DR. NDUMBARO alikuwa mlimani anafundisha political science ghafla tukasikia amekuwa mshauri wa raisi, prof. mkandala pia ni mshauri wa raisi katika mambo fulanifulani ana wachumi madoctor na maprofesa kadha wa kadha alionao .........................
sasa kama watu wanaomshauri ni wasomi basi wasomi hawa wahatumii taaluma zao ila wanajipendekeza kumshauri yeye anayoyataka au wanaogopa kumkosoa kwa kulinda kazi zao au ni wanafiki tu kwa sababu wameshafanya mambo makubwa katika uwanja wa kimataifa kiutendaji.

tatizo la ubovu wa utendaji wa raisi unaweza kutokana kabisa na upuuzi wake mwenyewe au ubishi.

Mkuu umeongelea upande mmoja wa sarafu; kwani ni nani asiyefahamu ya kwamba nchi hii inajengwa na vijana wenye moyo kama mimi na wewe, na kubomolewa na hao wanao jiita wasomi?

Kwenye mchakato wa utafiti wangu usio rasmi it comes to my attention that "Matatizo yote yanayo iyumbisha nchi including; Ombwe la uongozi, Mikataba tata,Ufisadi na Rushwa chanzo chake ni University of Dar es Salaam" Huo ni mtizamo wangu.

Madam nakushauri ni vyema umuombe Mwenyezi Mungu akujalie either mtoto mmoja au watoto wawili ukawasomesha nje ya nchi, kuliko kuwa na timu ya mpira ikasoma hapa hapa bongo, kwani madhara yake ni makubwa kuliko tunavyodhania.

Naomba nimalizie kwa kusema "Mfumo wa elimu wa nchi yetu kuanzia primary hadi high learning institutions umeandaliwa purposely kuwanufaisha mafisadi na watoto wao; hauwezi kumwezesha mtanzania wa kawaida kujikwamua ki-maisha".
 
mimi naamini washauri wa raisi ni watu wasomi wazuri tu, tatizo nafikiri ni unafiki wa wasomi hawa kutotaka kumuudhi raisi na kulinda ugali wao(tatizo ni njaa zinawasumbua) au raisi hashauriki

kwa mfano wachache ninaowafahamu ni wasomi tu wazuri kuna mtu anaitwa DR. NDUMBARO alikuwa mlimani anafundisha political science ghafla tukasikia amekuwa mshauri wa raisi, prof. mkandala pia ni mshauri wa raisi katika mambo fulanifulani ana wachumi madoctor na maprofesa kadha wa kadha alionao .........................
sasa kama watu wanaomshauri ni wasomi basi wasomi hawa wahatumii taaluma zao ila wanajipendekeza kumshauri yeye anayoyataka au wanaogopa kumkosoa kwa kulinda kazi zao au ni wanafiki tu kwa sababu wameshafanya mambo makubwa katika uwanja wa kimataifa kiutendaji.

tatizo la ubovu wa utendaji wa raisi unaweza kutokana kabisa na upuuzi wake mwenyewe au ubishi.
..yaweza kuwa kweli...maana hata wanaotuibia kwenye sekta mbalimbali za umma ni wasomi pia...hata wanaoingia mikataba feki pia ni wasomi...
 
Back
Top Bottom