Wabunge hawa wa CHADEMA ni janga kubwa



Wabunge hawa wa Chadema ni Janga La Taifa, tuhakikishe mwaka 2015 hawarudi bungeni kutuwakilisha because wame prove failure katika majimbo yao.....ni jambo la kusikiktisha sana kuona John Mnyika Mbunge wa Ubungo anaemaliza muda wake amefeli kabisa ku address na ku solve tatizo la Maji katika jimbo lake....yaani inasikitisha sana katika dunia hii kuona mbunge ambaye anashindwa kujua matatizo ya jimbo lake lakini yuko mstari wa mbele katika kuhakikisha anapangwa na Chama katika safari za kufungua matawi ya Chadema huko Marekani na Ulaya.....Sasa John Myika Hizo Safar Za Kufungua Matawi zina Tija Gani kwa Wakazi Wa Ubungo...huo ni upuuzi na udhaifu wa hali juu....na kwa taarifa yako mwaka 2015 haurudi bungune coz ww ni janga kwa sisi wakazi wa Ubungo....ume prove failure na kuanzia tarehe 1.1.2013 nitaanzisha petition ya kukusanya sahihi za wakazi wa Ubungo ya kukosa imani na wewe.......nawaasa wananchi wenzangu tuamke hawa CHADEMA hawana lolote ni wanafiki wakubwa na wanatutumia kama ngazi ya kujinufaisha wao wenyewe na familia zao...


Wabunge wafuatao nao ni Janga la Taifa

1. Halima Mdee

2.John Msigwa

3.Joseph Mbilinyi

4.David Silinde

5.Freeman Mbowe


NATABIRI KIFO CHA CHADEMA KABLA YA MWAKA 2015......
Ukisikia WIVU WA KIJINGA ndio huu. Haya nenda kakusanye hizo sahihi halafu turudi kwenye ulingo tuone. Inaonyesha wewe ni mmoja wa wale mafisadi ambao mikikimikiki ya hawa wabunge imekugusa. Hatutarudi nyuma hadi watu kama nyie muwe mmesambaratika. PiPOOOOOZ
 
wengine uelewa wetu ni mdogo hebu tupe mwanga zaidi, kwa hiyo mkuu unashauri kuchagua watu kama Mtemvu, Zungu na Iddi Azzan hivi?
Maana yake ni kuwa kama unaona chama hakifai basi mchague mtu unayeona anafaa japo tunajua kwa unafiki wa wabunge wa chama tawala hatuna wagombea binafsi hivyo wote watatoka kwenye chama kimojawapo. Pia sikubaliani naye kuwa wabunge wa CCM na wa CDM ni sawa. Kwanza wa CCM wanayo dola na wanakusanya kodi wakati wa CDM wanayo hekima na busara wala hawakusanyi kodi. Tofauti nyingine ushindi wa wabunge wa CCM hutegemea dola na fedha wakati wa CDM wanategemea nguvu ya umma na vuguvugu la mabadiliko. Usishangae kuna mbunge wa CCM hafanyi kazi kwa wananchi wake kwa kuwa anasema hawakumchagua ila ushindi ni wa nguvu za dola. Kaulize Jimbo la Segerea utajua ni chama gani kinafaa kuwa na wabunge na kipi hakifai.
 
Bwana Kimbunga,
Kwanza wewe ndo JANGA LA TAIFA kwa maana unatumia matusi katika kutoa maoni yako na hujui na huelewi shughuli za maendeleo zinaendaje nchini. CDM hawakusababisha ukosefu wa maji nchini bali matatizo yote yameletwa na CCM (chama cha ukoo wenu), na CDM wanajitahidi kuleta mabadiriko ya maendeleo baada ya nchi kuwa inaangamia kwa umasikini. Hebu zungukia hayo majimbo uliyotaja Wabunge wake uone shughuli zinavyofanyika. Labda kama una personal conflict na Mhe. Mnyika hayo ni yako. Hebu jiulize kabla Mnyika hajawa mbunge hali ya maji ilikuwaje na sasa ikoje na tatizo ni nini!?
Wakati mwingine lazima uelewe kuwa CDM haiji na maji bali ina sera ya kuwashirikisha wananchi namna ya kutatua matatizo nchini.
Halafu jitahidi kwenda shule angalau ujue maendeleo ni nini siyo kukurupuka tu.
 


Wabunge hawa wa Chadema ni Janga La Taifa, tuhakikishe mwaka 2015 hawarudi bungeni kutuwakilisha because wame prove failure katika majimbo yao.....ni jambo la kusikiktisha sana kuona John Mnyika Mbunge wa Ubungo anaemaliza muda wake amefeli kabisa ku address na ku solve tatizo la Maji katika jimbo lake....yaani inasikitisha sana katika dunia hii kuona mbunge ambaye anashindwa kujua matatizo ya jimbo lake lakini yuko mstari wa mbele katika kuhakikisha anapangwa na Chama
katika safari za kufungua matawi ya Chadema huko Marekani na Ulaya.....Sasa John Myika Hizo Safar Za Kufungua Matawi zina Tija Gani kwa Wakazi Wa Ubungo...huo ni upuuzi na udhaifu wa hali juu....na kwa taarifa yako mwaka 2015 haurudi bungune coz ww ni janga kwa sisi wakazi wa Ubungo....ume prove failure na kuanzia tarehe 1.1.2013 nitaanzisha petition ya kukusanya sahihi za wakazi wa Ubungo ya kukosa imani na wewe.......nawaasa wananchi wenzangu tuamke hawa CHADEMA hawana lolote ni wanafiki wakubwa na wanatutumia kama ngazi ya kujinufaisha wao wenyewe na familia zao...


Wabunge wafuatao nao ni Janga la Taifa

1. Halima Mdee

2.John Msigwa

3.Joseph Mbilinyi

4.David Silinde

5.Freeman Mbowe


NATABIRI KIFO CHA CHADEMA KABLA YA MWAKA 2015......

Huyu lazima ni NAPE,hivi unadhani watanzania wa leo ni wa 1961?nyie subirini 2015 hapatakalika hapa mchakachue msichakachue lazima mabadiliko ya kweli yawepo,tumewachoka jamani hivi hamjajistukia?i hate this guys who thinks they have title deed of this country,jamani sisi ndo wapiga kura na ndo tumeshaamua na tulisha amua,so all this are just porojos
 
Join Date : 28th November 2012
Posts : 5

TUMSAMEHE HUYU MTU NI WALE NDUGU WA PERDM NAYE SIKU IMEPITA
 
Bwana Kimbunga Nakushukuru sana kwa maoni yako, nakushauri uanze kwanza kukusanya saini za watanzania siku ya uhuru tarehe 9 Disemba 2012 tunaposheherekea miaka 51 ya Uhuru bila ya maji katika majimbo mbalimbali nchini (Ubungo likiwa na afadhali kuliko majimbo mengi nchini na hata baadhi ya majimbo la Dar es salaam).

Kuhusu kazi nilizofanya katika kipindi cha miaka miwili niliyokuwa mbunge unaweza kuzisoma tu hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...su-kazi-za-maendeleo-jimboni-ubungo-amua.html , lakini kama ni mwananchi wa Ubungo ulipaswa kuwepo wakati nafanya ziara jimboni na DAWASA, DAWASCO kushughulikia matatizo ya maji na hatimaye ziara na Waziri wa Maji Prof. Maghembe kuzindua miradi ya maji. Nikodekeze tu kwamba pamoja na kazi hizo tulizofanikisha bado naendelea kuwatumikia, juzi nimewasilisha hoja binafsi ya maji Dar es salaam kwa halmshauri ya jiji, nasubiri mkutano wa baraza la madiwani ijadiliwe kuongeza msukumo wa hatua za haraka. Kumbuka, mkutano uliopita wa bunge niliwasilisha lakini ratiba ilibana haikujadiliwa, fuatilia mkutano ujao wa Bunge mwezi Februari utaona kitakachotokea.

Umeandika maneno yasiyokuwa ya ukweli kwamba toka nichaguliwe kazi yangu imekuwa kwenda Ulaya na Marekani kufungua matawi ya CHADEMA; kwa taarifa yako sijawahi kwenda kufungua tawi lolote Ulaya na Marekani miaka miwili ambayo nimekuwa mbunge (Lakini nitakwenda). Kwa sasa nikifanya ziara za kichama ni jimboni Ubungo, unaweza kufuatilia hapa ya karibuni: JOHN MNYIKA: Ziara ndani ya Jimbo iliyofanyika Desemba 1, 2012: Kimara na Saranga au vijijini katika mikoa mbalimbali nchini. Kama wabunge uliotutaja ni janga la taifa, nitajie wabunge ambao sio janga la taifa.

JJ

Kwa kuongezea ni kwamba wewe si mbunge wa jimbo la Ubungo tu bali ni mbunge wa kitaifa unayewakilisha matotizo ya Watanzania wote bila kujali itikadi zao za kichama.Hivi amendments unazo komaa nazo na kumchachafya mwanasheria mkuu kwa utetezi wa kulinda haki za raia na rasilimali zao huyu jamaa haoni.Fao la kujitoa ambalo umelikomalia yeye anadhani ni suala la kijimbo tu au la kitaifa.

Ni bora uwe uchi wa nyama kuliko kuwa na uchi wa akili,Mnyika wewe ni zaidi ya CDM na Ubungo kama hawajui wafuatilie mrejesho wa mambo uliyoyafanya kabla hujawa mbunge na pindi ulipokuwa mbunge kwa Watanzania.
 
Mimi nisingependa kucoment chochote ila ninachokiamini kuna wabunge wa CDM wanaofanya vizuri majimboni na kuna ambao hawafanyi vzuri, halikadhalika kuna wabunge wa CCM wanaofanya vizuri majimboni na kuna wengine hawafanyi. Ila kuhusu Mnyika hapana! Huyu kijana namkubali sana japo kidogo suala la kumkashifu raisi lilitaka kumpaka doa ila Mnyika ana mchango mkubwa sana kwa taifa hili. Tumuacheni kwani hakuna aliekamilika kwa asilimia mia. Tusubiri kura 2015
Mkuu umepeleka wapi akili yako..Hivi neno Dhaifu ni kashfa siku hizi.Ebu badilika kubali ukweli na kama mtu kaonyesha mapungufu kuwa jasili kama Mnyika mwambie yeye DHAIFU
 


Wabunge hawa wa Chadema ni Janga La Taifa, tuhakikishe mwaka 2015 hawarudi bungeni kutuwakilisha because wame prove failure katika majimbo yao.....ni jambo la kusikiktisha sana kuona John Mnyika Mbunge wa Ubungo anaemaliza muda wake amefeli kabisa ku address na ku solve tatizo la Maji katika jimbo lake....yaani inasikitisha sana katika dunia hii kuona mbunge ambaye anashindwa kujua matatizo ya jimbo lake lakini yuko mstari wa mbele katika kuhakikisha anapangwa na Chama katika safari za kufungua matawi ya Chadema huko Marekani na Ulaya.....Sasa John Myika Hizo Safar Za Kufungua Matawi zina Tija Gani kwa Wakazi Wa Ubungo...huo ni upuuzi na udhaifu wa hali juu....na kwa taarifa yako mwaka 2015 haurudi bungune coz ww ni janga kwa sisi wakazi wa Ubungo....ume prove failure na kuanzia tarehe 1.1.2013 nitaanzisha petition ya kukusanya sahihi za wakazi wa Ubungo ya kukosa imani na wewe.......nawaasa wananchi wenzangu tuamke hawa CHADEMA hawana lolote ni wanafiki wakubwa na wanatutumia kama ngazi ya kujinufaisha wao wenyewe na familia zao...


Wabunge wafuatao nao ni Janga la Taifa

1. Halima Mdee

2.John Msigwa

3.Joseph Mbilinyi

4.David Silinde

5.Freeman Mbowe


NATABIRI KIFO CHA CHADEMA KABLA YA MWAKA 2015......

Safari za DHAIFU duniani kote zina tusaidia nini?,serikali ya MABWEPANDE ime maliza wapi(wilaya gani?)hapa jijini?,hayo matatizo ni SERIKALI isiyo makini ndo imepoteza muelekeo na wabunge wenye ushuki(upungufu wa shule/fikra kichwani)kama wewe ndo wanatupeleka huko kwa kutetea ujinga mjengoni(bafuni wabunge wachafu na mafisadi wanako-kogeshwa).
Hapo jipange upya.
 
Usimlaumu Mnyika ambae anajitahidi sana kutatua tatizo la maji kwa kipindi cha miaka 2 tu ya ubunge wake, wakati huo huo unawaacha viongozi wa chama na serikali ya CCM waliokaa madarakani kipindi cha miaka 51 na bado hamna maendeleo ya maji ubungo na DSM kwa ujumla. Usipende kulaumu pasipo kuwa na ukweli, na inaonekana umeandika kwa jazba thread yako bila hata kupumua ndo maan imekaa kitoto sana.
Jifunze kujenga hokja na is kulaumu laumu tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom