Recent content by ndesangao

  1. N

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa basi kutoka Dar kwenda Uganda

    Naomba kuuliza kwa wazoefu..nauli ya kutoka Dar es salaam kwenda Uganda ni shilingi ngapi. Na ni bus gani zuri la kusafiria? na kwenda Uganda kunahitajika paspoti ya kusafiria au ni kitambulisho cha kawaida.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    nashkuru sana kaka
  3. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    Mimi ni mfanyabiashara nategemea kuanza biashara ya mitumba soko la mitumba Ilala boma. Nategemea kuuza nguo za kitoto na za kike. Naomben ushauri kuhusu mchanganuo mzima. Bei ya belo,gharama za usafiri, malazi, na taratibu za kusafiri.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Waislam

    tunataka nembo ya taifa letu na nguruwe awemo.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mtoto anapogoma kulala

    dawa ni kumnywesha konyagi vijiko 3.katalala mbayaa.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Meneja wa Bar

    kama upo srz ni pm nikupe ushauri kwanza.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mbwa wa kufuga

    mkuu na kama nikitaka kuja kumpandikiza jike wang inakuaje?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kumwaga nje mbegu za kiume wakati wa tendo (withdraw) na uwezekano wa kupata mimba

    kwa kwel hata kwa bunduk ctoweza..
  9. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mbwa dume german type

    naishi mbezi kibanda cha mkaa,nina mbwa jike natafuta dume la kukod kwa ajil ya kumpandikiza jike wang.
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anayefahamu sifa za mabinti wa kisukuma

    kwa sasa wamebadilika sana.wamekuwa wasanii na matapeli.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Naomben ushauri kwa wenye uzoefu na nchi ya Msumbiji.

    Mim ni kijana mwanaume naishi dar es salaam,nahitaji kwenda kufanya biashara msumbiji,ninamtaj wa sh. 600000.naomba wafanyabiashara wenyeuzoefu wa huko wanisaidie n biashaea gan ya kufanya.na michanganuo yote.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Msumbiji kufanya biashara, Naomben masaada

    mimi nipo dar es salaam.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mkulima wa matikiti maji

    namba zangu ni 0659663232
Back
Top Bottom