Anayefahamu sifa za mabinti wa kisukuma

Anayefahamu sifa za mabinti wa kisukuma

hapo umepata mke, ni msukuma wa pande zipi?
usisahau kunipa kadi ya mwaliko.
 
oa kabisa,wasukuma hawana tatizo,na mtafikishana uzeen,mtazeeka pamoja
 
Habari wanajavini yeyeto anayejua tabia za mabinti wa kabila la wasukuma anisaidie

1: wana nidhamu kwa waume zao
2: They are very submissive
3: Ni wakarimu
4: wavumilivu
5: Wana nguvu (kama una shamba ondoa shaka)
6: Wana upendo na ndugu kwa upande wa mwanaume (siyo kama wamachame)

Hizo ni general, lakini binadamu wote si sawa, huwezi kushangaa sana kukutana na tabia opposite to these.
 
Wapole.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
1: wana nidhamu kwa waume zao
2: They are very submissive
3: Ni wakarimu
4: wavumilivu
5: Wana nguvu (kama una shamba ondoa shaka)
6: Wana upendo na ndugu kwa upande wa mwanaume (siyo kama wamachame)

Hizo ni general, lakini binadamu wote si sawa, huwezi kushangaa sana kukutana na tabia opposite to these.

Asante sana kwa hilo maana ndio tulivyo
 
Niwachapakaz an, wanapenda ndg, wapole, hawachok kupika, in wacheshi

Lkn wapo wachawi, akiwa hakutaki Haya umwalike lowasa ktk hara be hakubari na hawapendi tuja.

Karibu shemeji
 
Back
Top Bottom