Issa Daudi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 289
- 20
Ujinga mtupu,kama vyui ni vibya maanake nini? Maisha ya walio soma hapo nimabaya pia? Achen hizoo,elimu haijawakomboa naona mnataka kuikomboa elim,ndo vyuo vyenu hivyo siku hiz
Lakini wengi ni fix sana,maana hakuna hata mmoja anaesema ana dv 2 au three,mm ni mwanafunzi lakini kusema la haki cjamuona mtu mwenye kazi ya maana kama engineer anashinda humu kubishana na watu,ila wa humu majigambo kibao mara ooh nilipokua nafanyisha interview wanafunzi wa chuo gani wapo shallow, mm mwenyewe napata muda wa kuingia humu likizo au weekend but wao daily na kila post wanacomment
ulijuaje kuwa kuna watu wapo humu daily kama wewe huingii mara kwa mara
Kiongozi mimi nimetumiwa meseji hiyo tena na namba ngeni,nikaona niiilete kwenu wana JF tuitendee haki. Je yaliyosemwa ni kweli au sikweli.
Nimesoma wapi hiyo siyo hoja, changia tu.Unaweza kuta mm mwenyewe sijasoma popote ndiyo maana nikaleta kwako wewe msomi. LOL...
I did computer science..ninefanya code miaka miwili tu as a profession...systems administrator.
Am now an administrator and have chosen that path over coding.
Tatizo huyu mdogo wangu anaongea kwa jazba nashindwa kumpa funzo.
achen . kujtetea upuuz IFM n vilaza bna iyo
inafahamka
achen . kujtetea upuuz IFM n vilaza bna iyo
inafahamka. waliopo pale .n .wa .kawaida. tu xo .. msjfanye... hamuelew..[/QUOTE/kijanaa..nyewe ndii..
Narudia tena . Ungefaulu vizuri sayansi na comb zinge balance. o level ungeenda a level na hiyo PCM yako then na huko ungefaulu vizuri ungeenda engineering UDSM. Marks zako hazikutosha o level na ndio maana ukapita njia ndefu huko kwenye diploma
Pamoja na kwamba idadi ya vyuo vikuu inaongezeka Tanzania, kuna baadhi ya vyuo vimekua vikitoa shahada kirahisi sana, pasipo wanafunzi kutengenezwa vya kutosha kufikia mafanikio hayo!
Baadhi ya vyuo vinavyotoa degree za mezani ni Tumaini, St. John's na IFM. Wadau, ongezeni vingine.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Mi nasema wote mliosomea digrii tanzania mna digrii za mezani, kwishaaa! Watu wanadharau sana humu