Nao watamwambudu MUNGU katika roho na katika roho na kweli,,,,,, wasabato mnaabudu SIKU na sio MUNGU.. nina marafiki zangu ni wasabato nawafahamu vilivyo... niwashika siku sana lkn ni watenda uzinzi wa kutupwa... sasa unashika sabato halafu UNAZINI then unasema dunia imelaaniwa kwa kutoishika...