Mtwara tachnical secondary special thread

cacacuona

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
655
776
Kwa wale ambao tusoma Mtwara tech ambao tunazijua Loveline,dom Chee; Nyuji na Danida
.tukutne hapa.
 
Screenshot_2017-06-14-23-22-00.png
Screenshot_2017-06-14-23-20-45.png
 
Naomba more information kuhusu hiyo shule especially in academic and environment cause nina kijana wangu kachaguliwa hapo mwaka huu comb ya PCB. cacacuona
Iko vizur sana.na wanafanya vizur pale pana combination 2 tuu yaan PCB na PCM. Infrastructure zote ziko vizur saana ni shule kongwe ina facility za kutosha.Maji uhakika walimu kwa Olevel tu mi nimemaliza sijui idadi yao.na advance walimu wao wako wengi.
 
Naomba more information kuhusu hiyo shule especially in academic and environment cause nina kijana wangu kachaguliwa hapo mwaka huu comb ya PCB. cacacuona
Mm nilichaguliwa hapo pcb 2011 lkn sikufanikiwa kumalizia hapo nilihama kutokana na usumbufu wa walimu. Mpaka mm naondoka haikuwa ba walimu labda kama sasa hivi wapo ila hawakuwepo kwaio mwambie mdogo wako ajiandae kisaikolojia na haya 1.ile ni shule ya mix tena O level na A leve kwaio kuna viusumbufu vya hapa na pale visivyokuwa vya lazima,,
2.chagamoto ya walimu.. japo walimu wa sciences ni chagamoto lkn kwa mikoa ya kusin nadhanj ni chagamoto kubwa zaidi ukiliganisha na sehemu nyingine...

Ushauri wangu mwaache aende akaangalie mazingira kwa miezi michache kama yatamfaa maana 2011 mpaka 2017 ni miaka kidogoo imeenda kwaio huenda kukawa na mabadiliko,,! Ila kama una uwezo wa kumuhamisha basi fanya hivyo as soon as possible
 
Back
Top Bottom