Naomba uniulize chochote kuhusu kufanikiwa katika Biashara na Ujasiriamali

Mkuu Hongera sana sana!
I feel motivated though sina hata pakuanzia. Nimekuelewa sana kiongozi. Labda nami ni confess hivi, mimi ni graduate huu ni mwaka wa 3 nipo mtaani sina ajira na nimemaliza nna LLB degree. Nimetafta ajira mpaka nimechoka, nikatafuta internship bado sikupata mpaka leo hii, nikatafuta ata volunteering lakin shida ikawa ni ile ile. Kibaya zaidi katika famia sina ata mtu wa kuniboost japo MTAJI, kimsingi hali ni ngumu sana, nimefrah sana kuona una mafanikio makubwa ukiwa na umri mdogo. God bless you, natamani kukuuliza in private unipe japo mbinu moja tu ya mimi kutoka lakin umesema hujibu izo txt wala hutoi namba. Kimsingi mwanzo ni mgumu sana hasa pale unapokosa pakuanzia, naamin ipo siku nasi tutaangukia. Nilipata wazo la kuunda kikundi ili tukakope ela bank tufanye green house na wenzangu kwa kuwa hatuna mtaji lakin tulishindwana kwa kuwa na ideology tofauti baina yetu. Nilifikiria kufuga kama wewe lakin tatizo likawa mtaji na eneo. Sasahiv nafkiria kilimo popote nitaenda kulima lakin hata ela ya kukodi mashamba sina. Nipo tayar wadau yeyote anaedhani ana fursa tunaweza share nae tukatoka nipo tayar ancheki wakati wowote 0719 815018.
Unaishi mkoa gani?
 
Boss mi nina mradi wangu nataka nianzishe kilimo cha umwagiliaji na nimekua nikifatilia sana kuhusu Drip irrigation lakini water pump za kisasa nimekosa na hata pipe ambazo ziko adjustable katika matundu bado zimekua ni changamoto sana kwangu. Shamba nililo nalo ni la 80acres sasa nauliza kama naweza pata pump yenye kusuma ukubwa wa eneo kama hilo alaf na pipe hizo pipe nazipatia wapi na gharama zake ni shingapi boss wangu?
 
How could I grow my company from ground till here?! Like seriously. On the other side, sijajaj JF kutafuta clients, so si lazima kila mtu ajue jina la kampuni yangu, nina njia zangu za kupata potential clients.
Hey!!you would have ignored this dude
 
Munampa shida ontario... maswali mengine sio lazima ajibu yeye... embu tujitahid kuuliza maswali amabayo hata yeye akijibu awe anajifunza kitu...

kama wewe wa kilimo cha mahindi eka 5 hata mimi nakujibu...

Hapo ni.
Ardhi.
Mbolea.
Nguvukazi.
Mbegu.
Pesa.
Muda.
Vitendea kazi.

Zaidi nin unataka kujua braza

Sent from "La -Vista"
 
Boss mwezi wa 10 ndio muda muafaka wa kilimo cha mihogo, kwenye zile vuli. Japo mimi nilichelewa lkn kiukweli mvua hizi zimeniboost sana.

Nunua mbegu ya Monsanto inaitwa VIRCA, hii kitu ni mkombozi, haishikwi ma magonjwa ya kipuuzi puuzi. Ukifata principles na ukiwa na soko la uhakika utapiga pesa nzuri, 1.5-2 mil faida kwa hekari... na si unajua hiki kilimo ni cha kimaskini, gharama za uzalishaji ni reasonable sana hasa mvua zikikubali. So ukianza zako na heka 10, unaeza ukapata pata tufaida twa kulimia heka 50.
hii mbegu upatikanaji wake ukoje
 
Mkuu ONTARIO naomba kujua unapozungumzia mtaji wa kwanza ulipata JKT,ina include hilo banda?kwa mtu aliyechelewa,akijicommit na kilimo heka tano hadi kumi na ufugaji kidogo anaweza kutoka na kukaribia hata robo ya level yako?Pia ni busara kuacha ajira ambayo unaona haitakufikisha mbali ukasimamie mradi wako?
Naomba nikupe mbinu kidogo kwa wazo lako,
Kuna apps inaitwa PINTEREST ni nzuri kwa sababu inakupa mbinu na wazo tofauti kuhusu chochote unacho hitaji, kwa mfano: jinsi ya kutengeneza banda la kuku au jinsi ya kuandaa shamba katika kilimo.

Hii yote inapatikana katika pinterest apps na utapata mawazo tofauti.

 
Back
Top Bottom