Recent content by Ndelembi

  1. Ndelembi

    LIVE: Nape ndani ya Wapo Radio

    Wakuu nipeni namba ya wapo radio,naona nape anaulizwa maswali yanayompa kichwa
  2. Ndelembi

    LIVE: Nape ndani ya Wapo Radio

    mkuu anashindwa kutoa takwimu ya watu wanaobebwa kwenye chama chake instead ameenda kwa chadema
  3. Ndelembi

    LIVE: Nape ndani ya Wapo Radio

    anababaika sana kujieleza
  4. Ndelembi

    LIVE: Nape ndani ya Wapo Radio

    yaani jamaa mweupe kujibu maswali...sijui sisi-emu wamemteuaje kwenye nafasi hiyo
  5. Ndelembi

    Waziri Tizeba analala hoteli mpaka leo kwa kodi zetu

    mnashangaa ya mawaziri!! Makatibu wakuu wa wizara nao ni humohumo hotelini
  6. Ndelembi

    PPF na NSSF

    nenda kwa Acts zao(sheria zao) ukasome what kinds of benefits wanazotoa then utajua umeridhika na upande gani..
  7. Ndelembi

    Simu bora yenye Speed katika internet ni ipi?

    kaka nipe bei ya hiyo nokia c5-000,naipenda sana hyo cmu,mimi niko dsm
  8. Ndelembi

    Naomba kuuliza,je naweza kupata Laptop nzuri kwa bei ya 300,000?

    kaka naomba uni PM namba yake huyo mkuu..nahitaji laptop na mimi
  9. Ndelembi

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    polisi wengi wa tz wanapenda kunywa rushwa
  10. Ndelembi

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    mwema ni mkuu wa polisi
  11. Ndelembi

    Mwita Waitara Mwikabwe Mbaroni kwa mauaji Singida

    alimaliza pale mwaka gani,maana mimi nilikuwa pale miaka ya 2000's
  12. Ndelembi

    Naombeni msaada wenu wadau wenzangu chap! Nokia N73 kuflash!

    kaka kwa kui-flash simu yako fuata maelezo haya: zima simu yako,toa line na memory card,kisha hold buttons za 'green calling key,3 na * kwa pamoja,kisha iwashe simu yako..hapo utakuwa umeiflash cmu yako
  13. Ndelembi

    Nahitaji nokia c-5

    Nahitaji simu aina ya Nokia c5..iwe used kidogo,bei unaweza kutaja humu au ni PM..maelezo mengine tuwasiliane
  14. Ndelembi

    Tovuti ya wizara inaonyesha picha za ngono!!!

    Duuh,kweli wakuu,aibu
Back
Top Bottom