Alikamatwa jana (Jumapili) saa nne asubuhi. Amefikishwa mahakamani leo lakinis kwa kosa la mauaji. Ameshitakiwa kwa kutoaliugha ya matusi dhidi ya Miwigulu Nchemba. Lakini kuna vijana wengine sita kutoka kijiji cha Nguvumali, ambako vurugu zilitokea, ndio wamefikishwa mahakanai kwenye ksi nyingine tofauti kwa kosa la mauaji ya kiongozi wa UVCCM. Mpaka saa tisa Waitara alikuwa anahangaika kutimiza masharti ya dhamana ambayo iko wazi
Hata mimi nimesikia kosa lake halina dhamana mkuu...Kumbe! Basi uko niliposoma wame mislead?
Ndio Huyo aliyekua Headbway wa Kwayu(Azabway)!!
Yea, wamedanganya. yeye hakushitakiwa kwa mauajiKumbe! Basi uko niliposoma wame mislead?
Ngoja nifike kwenye PC nitaweza kuwasilisha vizuri lakini kwa ufupi ni kuwa alikuwa amemaliza mkutano na waandishi wa habari kutoa maelezo ya kanusho la CHADEMA kuhusika na mauaji ya mwana CCM na pindi alipotoka nje ya ofisi za CHADEMA ndipo alipokamatwa
Yule Mwita Mwikabe wa Azania ya Kwayu?
Ndio Huyo aliyekua Headbway wa Kwayu(Azabway)!!
Ndio Huyo aliyekua Headbway wa Kwayu(Azabway)!!
Kumbe! Basi uko niliposoma wame mislead?
Mbona Ditopile alipata mzamanaAliua vipi wakati alikuwa jukwaani akihutubia? POLISI CCM mnachekesha. Haya ndiyo aliyoyasema Tundu Lissu ya kumbambikiziwa kesi ili kukomoa watu kwasababu KESI ya mauji hana mdhamana.
alimaliza pale mwaka gani,maana mimi nilikuwa pale miaka ya 2000's
Mh! ameshitakiwa na nani kwa kumtukana Mwigulu au Mwigulu mwenyewe alikuwepo? au ndo kama ya Lema kule Arusha.Alikamatwa jana (Jumapili) saa nne asubuhi. Amefikishwa mahakamani leo lakinis kwa kosa la mauaji. Ameshitakiwa kwa kutoaliugha ya matusi dhidi ya Miwigulu Nchemba. Lakini kuna vijana wengine sita kutoka kijiji cha Nguvumali, ambako vurugu zilitokea, ndio wamefikishwa mahakanai kwenye ksi nyingine tofauti kwa kosa la mauaji ya kiongozi wa UVCCM. Mpaka saa tisa Waitara alikuwa anahangaika kutimiza masharti ya dhamana ambayo iko wazi
Yule Mwita Mwikabe wa Azania ya Kwayu?
Kama ilivyo kawaida, makosa na jinai yote mshitaki ni jamhuriMh! ameshitakiwa na nani kwa kumtukana Mwigulu au Mwigulu mwenyewe alikuwepo? au ndo kama ya Lema kule Arusha.
Aliua vipi wakati alikuwa jukwaani akihutubia? POLISI CCM mnachekesha. Haya ndiyo aliyoyasema Tundu Lissu ya kumbambikiziwa kesi ili kukomoa watu kwasababu KESI ya mauji hana mdhamana.