aisee hamna hizo vitu chalii
kiLiMlire - Hiyo ni tovuti rasmi ya Wizara ya Sheria na Katiba, nimeifungua baada ya kuisoma kwenye 'spare tyre cover' ya gari moja la Serikali nikiwa kwenye foleni. Hiyo cover imeandikwa, Je unataka kusoma Katiba? Tembelea MINISTRY OF CONSTITUTIONAL AND LEGAL AFFAIRS. Labda ni udhaifu wa wataalamu uchwara, ambao wametengeneza tovuti dhaifu, kisha hackers wakawaaibisha
Mimi natumia Opreamimi 4 kwenye Nokia E61i. Chini ya "Law is Above All" kuna link yenye maneno yafuatayo, "watch porn bed porn dry sex sex videos porn sex free girl porn sexe porn sex".
Kisha kufuatiwa na link ya "GOVERNMENT NOTICE NO. 66 ya 08 March, 2012.
THE CONSTITUTIONAL REVIEW ACT (NO. 08 OF 2011).
Tumia Operamini 4 kwenye simu, cha ajabu nikitumia Operamini Next huo uchafu haupo.
Ni sehemu gani katika tovuti hiyo inayoonyesha huo uchafu. Yaani nashindwa kuamini ukisemacho kama ni kweli au la.
Agrrrrrrrrrrrrr.jamani ni kweli kabisa hiyo tovuti imejaa picha na video za ngono nyingi sana. Kama huamini tembelea hapa uone: MINISTRY OF CONSTITUTIONAL AND LEGAL AFFAIRS
dah mbona mi sioni hiyo kitu au nyie wenzangu mlioona mmepitaje jamani? naogopa kupresent hii ishu hata kwa watu wengine bila kuwa na visible evidence.Tovuti ya Wizara ya Sheria na Katiba; Wizara iliyochini ya Dr Celina Kombani, MINISTRY OF CONSTITUTIONAL AND LEGAL AFFAIRS kuna link inayoonyesha picha chafu za ngono.... INANIUMA SANA, SIJUI TZ NI NCHI YA AINA GANI... AIBU KUBWA SANA