Naomba kuuliza,je naweza kupata Laptop nzuri kwa bei ya 300,000?

mkifankiwa au mkipigwa za macho mje na mshindonyuma ili nasisi tununue wakuu...:israel:
 
mimi anataka
kuniuzia laptop aina; dell d630 au d430
min duo core
2.0ghz,ram 2gb,hdd
60gb,ina dvd
rom,blutooth,sd
card,win 7,ms 2010.
Anadai imetumika
kwa muda mfupi,na
anaiuza kwa
350,000/= vipi hii imekaaje?
 
mimi anataka
kuniuzia laptop aina; dell d630 au d430
min duo core
2.0ghz,ram 2gb,hdd
60gb,ina dvd
rom,blutooth,sd
card,win 7,ms 2010.
Anadai imetumika
kwa muda mfupi,na
anaiuza kwa
350,000/= vipi hii imekaaje?

Kanunue baada ya kuichek fresh, na kujiridhisha ina kidhi mahitaji yako
 
mimi anataka
kuniuzia laptop aina; dell d630 au d430
min duo core
2.0ghz,ram 2gb,hdd
60gb,ina dvd
rom,blutooth,sd
card,win 7,ms 2010.
Anadai imetumika
kwa muda mfupi,na
anaiuza kwa
350,000/= vipi hii imekaaje?

jAMAA SI kasema anauza brand Neeew sasa hizo used zimetokea wapi tena?
 
["By nurbert used unapata kbao.... Kama hz dell latitude d 630 na 620... Hz znakua na gb 80 hd ram 1 gb mpaka 2gb... Then kuna mwana huwa anatokanazo nje yy akija huwa anauza kwa bei nafuu.... Anajiita master fuko then yy hzo dell ikiwa brand new huwa anauzwa kwa 380000 ila ukimshusha unaweza kuchukua kwa 350000, ila hana sehemu ya biashara yy anafanya biznes kupitia mitandao ya kijamii anazo uza yy ni brand new"]


Mzee please nami naomba uni pm contact za huyo bwana please.
 
Wadau naomba kuelimishwa kidogo kuhusu hili,nahitaji computer(laptop) na kutokana na uwezo mdogo,ntaweza kugharamikia Tsh. 300,000/= tu!
Maswali yangu ni je,1.ni laptop za aina gani zinaweza kuwa nzuri?
2.Naweza kupata mpya ama used tu?
Tafadhali kwa yeyote anayejua anisaidie ili nisijepata kimeo.

Unaweza kupata kama wadau walivyosema hapo juu ila mimi nakushauri kama ujichange angalau ufikishe 600,000/= unaweza kupata laptop ambayo utafurahia kuwa nayo. Pia tafuta mpya vitu used vina matatizo yake.
 
Wadau naomba kuelimishwa kidogo kuhusu hili,nahitaji computer(laptop) na kutokana na uwezo mdogo,ntaweza kugharamikia Tsh. 300,000/= tu!
Maswali yangu ni je,1.ni laptop za aina gani zinaweza kuwa nzuri?
2.Naweza kupata mpya ama used tu?
Tafadhali kwa yeyote anayejua anisaidie ili nisijepata kimeo.

dell latitude d 610,630 na 620, hizi zina gb 80 hd ram 1 gb mpaka 2gb, nauza kwa bei nafuu, bei anauzwa kwa 360000 mpaka 38000. nitafute kwenye namba 0655 308308
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom