Recent content by ndea

  1. ndea

    Waziri Lukuvi: Marufuku kuzika kwenye vihamba Kilimanjaro

    Kama utakua utaratibu wa nchi nzima sawa lakini sio kwa watu wa Moshi peke.
  2. ndea

    Magufuli achangia Sh10 milioni matibabu ya mwanafunzi

    Mnaosema kakosea nazan hamjapata stori kamili ya huyu binti, na haijawagusa. Embu fikiria n wewe hapo upo degree mwaka wa misho semester ya mwisho ukitarajia kukamilisha ndoto yako alafu inatokea hali hiyo na hunamsaada zaid ya kuupata katika jamii.
  3. ndea

    Unajua tofauti ya hizi for~loops mbili? (Programmers)

    No 1 n poor kwasababu inaanza na loop ya njee wakati inaitajika ianze na loop ya ndan imalize ndio iangalie ya nje.
  4. ndea

    Kenya ilishajizoelea vya kunyonga toka Tanzania

    Hawa jamaa kweli hamnazo wanapenda utapeli utapeli kweli Mugabe alikua sahihi kwaile kauli yake
  5. ndea

    Baadhi ya Vyuo Vikuu vinazalisha Wasomi bomu

    Nazani tatizo lipo katika mfumo kwamba wanafunzi wengi wamejikita kwenye kufaulu kuliko kuwa wabunifu ndio maana unaweza kuta mwanafunzi anaGPA nzuri ilaubunifu mdogo. Pia elimu yetu kiasi kikubwa inawafanya wanafunzi wakariri wafanye mtihani baasi. Japokua kunawanafunzi pia wanafanya vzuri kote...
  6. ndea

    Kwanini wasichana wakifika chuo wanajiona next level sana?

    Hapa umenena kwann wanafunzi wengi wanasema wanatokea Dar wakati Dar kwa mjomba. Pia wanawake wengi wachuo wanafanya ivyo kwasababu wengi wanafuata mkumbo na kuishi maisha yasio na uhalisia
  7. ndea

    VIDEO: Wakenya wadai Olduvai Gorge ipo Kenya!

    Mpe salamu zake. Alafu mwambie atumie simu yake vzuri
  8. ndea

    VIDEO: Wakenya wadai Olduvai Gorge ipo Kenya!

    Hawa watu wapo dunia gani! Maana kila kitu kipo kwenye mtandao kwahiyo kudanganya wazi hivi nikujizalilisha
  9. ndea

    Ali Kiba - Lupela

    Video ni nzuri hainaubaya na wimbo ni mzuri. Labda tatizo n sis wabongo tumezoea video kunawadada wapo nusu uchi ndio tatizo linaanzia hapo ilakwa wanaosema n mbaya sijui wanatumia kigezo gani.
  10. ndea

    CCM Ilala yapinga uchaguzi wa Meya

    Hivi hichi chama kinajua kunamushindwa maana wao wakishindwa wanasema palikua na fitna. Waache hizo wakubali matokeo kazi ianze
  11. ndea

    Mitandao ya simu ya Tanzania na siri zao, jionee mwenyewe

    Halootel kiboko Voda Airtel Tiigo
  12. ndea

    Nape amjibu Lissu: Kama CHADEMA mnachukia ufisadi, mfukuzeni Lowassa

    Kama lowasa ndie anafanya chama kuwa chakifisadi je tokea anejiuzulu n mafisadi wangapi wameibuka kwenye chama chake na bado wananyazifa mbalimbali??
  13. ndea

    Mapenzi Yenu Vijana Yanishindaaa! Nimenawa Mikono! Najuuta kumshauri huyu binti

    Lara unauandishi mzuri sana hauchoshi. Napenda vijimaneno vyako vya mtaani
  14. ndea

    Kinachowakimbiza wachaga na wameru kaskazini -ukweli mchungu!

    Kwakuongezea hata shamba likiuzwa anauziwa mtu aliendani ya ukoo
  15. ndea

    Kinachowakimbiza wachaga na wameru kaskazini -ukweli mchungu!

    Nazan hujui unachokizungumza aiza ulihadithiwa na mtu amaulisikia stori kijiweni. Asilimia kubwa ya aridhi maeneo ya kasikazin inamilikiwa na wazawa, japokua kweli kunamaeneo ya mashamba yanatumika na makampuni mfn mkoani klimanjaro kunakampuni kama TACRI inamiliki eneo kwaajili ya utafiti wa...
Back
Top Bottom