Recent content by ndagu

  1. N

    Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

    We ni muongo kabisa, kwanza Mzumbe ni jina na kuna vyuo vingi vyenye jina la mzumbe. Kuna morogoro, dar, mbeya na mwanza je wewe umesoma wapi? Haiwezekani makosa afanye prof wa chuo hiki alafu useme mzumbe yute iko hivyo. Pia hakuna prof anayejishughulisha na ujinga unaosema labda ni prof wa...
  2. N

    Jamani nishaurini, DC kanichunuku!

    Kuwa mkweli kidogo! we mfanyakazi wa PCCB na hadi leo hujui RAS ni nani? usitudanganye na kututungia story za kitoto, embu kaulize tofauti ya RAS na DAS alafu uje urekebishe fix zako.
  3. N

    Nipeni mawazo kwa site hii (forum)

    sijui mwisho wako unataka iweje? pengine sijakuelewa yani unataka watu wachat kwenye simu au iweje? au wawe wanaongelea mambo mbalimbali ya simu zao? tafadhali nifafanulie, binafsi nimejisajili na sijui pa kuendelea japo hujaanza rasmi lakini nilidhani nitakuta kitu kinachofanya kazi tayari...
  4. N

    Rais Jakaya Kikwete amteua Bwana Hussein A. Kattanga kuwa Mtendaji Mkuu wa Idara ya Mahakama

    Huyo jamaa ni miongoni mwa watendaji waliojuu sana kwa utendaji wa kazi zao hapa Tanzania sasa hivi, jamaa anafanya mambo makubwa kwa muda mfupi popote anapopita! na kila anapoondoka wafanyakazi humlilia, alitokea Mbinga kama Mkurugenzi akaliliwa, akaenda Kinondoni manispaa akaliliwa na...
  5. N

    Nyomi la CHADEMA Arumeru leo

    Hakuna picha iliyochanganywa hapo labda useme sio Arumeru, uoga haufai kiukweli Cdm wanaonekana kupata watu wengi Arumeru lakini cha msingi hao watu wamejiandikisha?
  6. N

    Hii PIGA CHINI YA ZE COMEDY NI KAMPENI AU NINI?

    Hadi leo sielewi anayeongelewa, kinachonifanya nihisi ni kampeni zao sababu kisa chenyewe hakieleweki alafu hakichekeshi but wanarudia mara kwa mara, ninavyojua mimi ni kwamba kisa kizuri uwa ndo kinarudiwa na hasa kisa ambacho jamii wanakipenda sasa hatuelewi...
  7. N

    Hii PIGA CHINI YA ZE COMEDY NI KAMPENI AU NINI?

    Ndugu zetu wa ze komedy naona wamekuwa wanafanya matangazo au kampeni dhidi ya wanaowatuma, nashindwa kuelewa hii PIGA CHINI inayoonyeshwa mara ya 3 umuhimu wake kwa jamii ni nini? kwanza haieleweki, pili inaonekana ni kama wamevuta pesa ili kufanya kampeni chafu kimtindo. Ndg zetu TULIWAAMINI...
  8. N

    CCM write off!

    Hali imegeuka na sasa inaonekana CCM wameanza kuongoza kwa kumuacha Chadema kwa mbali sana! Mambo yamegeuka maana kuna kata inaonekana kuna tofauti ya kura karibu 1000 CCM wako juu kwa CHADEMA.
  9. N

    Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

    Ngoma bado ngumu wadau!
  10. N

    Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

    Nafuatilia matokea ITV inaonekana kama CCM wameanza kupanda kwa kura zao, ninahisi watapata kura nyingi vijijini.
Back
Top Bottom