Recent content by Navy seal soldier

  1. N

    JamiiForums Tanzania Dereva bajaji ya mkataba anahitajika

    Dereva bajaji kwa mkataba anahitajika 1.Awe anaishi na kufanyia route Kigamboni 2.Awe na mdhamini mwenye makazi ya kudumu 3.Awe na leseni 4.Awe anafanya bolt 5.Awe mchapakazi na mwaminifu Mawasiliano:0757208745/0617984818
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tesha ni kanjanja tu hakunaga mwanajeshi wa hivi JWTZ

    Mleta mada hivi una elimu gani? kumradhi Kwa kutoka nje ya mada.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msaada Juu ya kipimo cha HB level test

    Unajuaje kaka bila kupima
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa kigamboni naomba assistance nahitajiMaster rooom(single self) maeneo ya kibada, ungindonii au mji mwema

    Habarii great thinkers, Naomba assistance Kwa wakazi wa maeneo tajwa hapo juu. Natafuta room ya kupanga iwe na choo ndani(single self) mazingira yawe na usalama Nahitaji kuhamia harak sana. Yoyote mwenyej taarifa kindly assist me Natanguliza shukrani 🙏
  5. N

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba mpya inapangishwa Banana, Kitunda (kodi elfu 80)

    Ktunda sehm gn ?
  6. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAHADHARI: Afisa TRA ahatarisha maisha ya wakazi Mbezi Juu Kwa Sanya kwa kujenga ghorofa 4 bila kibali, kwenye msingi dhaifu wa nyumba ya chini

    Mtoa mada kinachokusumbua ni wivu, umaskini na njaa, hata kama umepishana kauli na mtu aina haja ya kuanika taarifa zake binafsi mitandaoni, na inaonekana you know him very well yaani ulichokifanya hapa ni whistleblowing. investigation itaanza kufanyik as soon as TAKUKURU wakipata hii taarifa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Bila waraka wa serikali wananchi wataendelea kupata shida TRA

    Kaka umenena vyema sana watu wasioweza kudadavua mambo Kwa mapana awawezi elewa hili, TRA awatungi Sheria Bali wanasimamia Sheria zilizowekwa na bunge katika ukusanyaji wa mapato Kwa Io wanachokifanya ni kile ambacho Sheria imeelekeza lakin jumba bovu wanaangushiwa wao. Wananchi wanahitaji...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ukwel ni kwamba Taasisi nying kubwa kubwa kama TRA,EWURA,BOT,TANAPA,TCRA mishahara yao haitegemei hazina daah kwa huu mfumo hizo taasisi zikipewa ruhusa kuajiri zenyew nepotism itarud itakuw ngm sana kupata asali maeneo hayo bila connection
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Umetoa wap hzi habar kiongozi
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Yan kwa utumishi kama haufaulu saili zao we unahesabika ni kilaza tu hata kama umesoma Harvard alaf chuo akimfanyi mtu awe competent, being competent it's just the matter of your own intelligence.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nadhan hili swali ungewauliza PSRS ingependeza zaidi mkuu
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wat tumesoma uko uko na sa hv ni employees wa TRA we wa udsm Bado unasaga rumba hahah
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Takwimu zinaonyesha wenye GPA kubwa Huwa wanakula sana ndoige hawapatagi mchongo mapema na wanakula sana ndoige kwenye sahili
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Guys tusipotoshane japo utumishi kuna urasimu mwingi lkn mchakato wao sa sahili upo 90% fair. Taasisi zikianza kuajiri zenyew hizo ajira tutazisikia kweny bomba
Back
Top Bottom