Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 3,240
- 4,490
Umeambiwa baadhi tu ya taasisi mkuu asa zile ambazo mishahara yao haitgemei hazina mfano Tanroads,Rea,Tanesco n.k halmashauri na taasisi zote zinazotegemea mishahara hazina zitaendelea na utaratibu wa PSRSKwahiyo jengo jipya linalojengwa kwa ajili ya kukanda watahiniwa wanachezea kodi za wananchi.......kwahiyo serikali kuu kazi yao itakuwa ni nn?....maana sasa hivi vibali vyote vya kazi vinapitia huko tofauti na kipindi cha utawala wa jakaya