Recent content by nature boy

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa kuishi Dar es Salaam ni utumwa na mateso makubwa mno

    Watu wa mikoani Dar hampawezi..
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nimeenda Chanika. Ni mbali sana, mnaokaa huko mpewe maua yenu

    Thanx bro..sikulijua hilo. Basi vyema kama unavyosema. Unanunua kama asset.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nimeenda Chanika. Ni mbali sana, mnaokaa huko mpewe maua yenu

    Mi nilioneshwa kiwanja 10m lkn kimahesabu nikaona hakunifai..ikiwa una mishe mjini basi pesa yako yote itaishia kwenye wese...pia unapoteza mda mwingi barabarani.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nimeenda Chanika. Ni mbali sana, mnaokaa huko mpewe maua yenu

    Kuna maeneo kule yako wazi mpaka leo watu wana viwanja vyao na hawajajenga...kiukweli bado sana kuishi kule kimahesabu.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kuna maisha mengine zaidi ya haya ya duniani?

    Maisha mengine yapo ili wale waovu walipwe kulingana na uovu wao walioufanya hapa duniani ...mfano waliokuwa ma dicteta na dunia iliwaogopa. Pia wenye kudhulumiwa walipe haki zao. Yatakuwa maisha yasiyo na mwisho baada ya hukumu. Wanadamu wote watafufuliwa kuanzia wa mwanzo kuumbwa na wa mwisho...
  6. N

    JamiiForums Tanzania High income generating, low investment capital

    Kama amelipwa pesa yake ya nssf...
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nadhani nilikosea kuoa binti niliemzidi sana umri

    Fanya mazoezi..pumzika vya kutosha na kula vizuri. Show itakuwa poa.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku chotara na kienyeji kwa mijini ni hasara tupu

    Kuku wa kienyeji kuwafuga kwa kulenga zaidi matumizi ya familia kiafya ni bora sana kibiashara watakugharim. Epuka kula broilers fuga nyumbani kuku wa kienyej watoto wako pia wale mayai ya kienyeji. Wale kuku wa wiki6 achana nao.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Bado unatafuta wazo la biashara ya kufanya?

    Biashara ya nguo na perfume
  10. N

    JamiiForums Tanzania IT kwa Tanzania ni kituko. Inakuwaje ni nadra kuwakuta waliotajirika? Hawazioni Fursa au ni watupu?

    Hivi unadhani IT ni programming tu... Sio kila mtu anatakiwa kujua kucode wengine wanajua command na ndio kazi zao.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Njia zipi nifuate ili kupata Zabuni ikiwa nina usajili wa BRELA?

    Unaweza nijibu mimi...mimi nina kampuni nilisajili ili nifanye shughuli binafs
  12. N

    JamiiForums Tanzania Njia zipi nifuate ili kupata Zabuni ikiwa nina usajili wa BRELA?

    Unaweza nijibu mimi...mimi nina kampuni nilisajili ili nifanye shughuli binafs
  13. N

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kujenga Majengo ya Serikali Dodoma ni Uamuzi wa Kipuuzi, wanaoshangilia ni wajinga

    Umeongea madini matupu...thanx.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kupata (win) Kazi on Upwork

    Safi bro...binafsi ndio nimejiunga upwork naomba kujua umepiga kazi gani...napenda kujifunza zaidi.
Back
Top Bottom