Recent content by Nash mjamaica

  1. Nash mjamaica

    Hivi Simba SC tutawahi tena kuja kuwa na Kikosi imara na cha kukumbukwa kama hiki?

    Jamani naomba mnikumhushe kuna mechi moja ya simba na timu kama sikosei kutoka south afrika kombe la shirikisho/klab bingwa sikumbuki walipigiana penalty zaidi ya kumi adi golikipa simba ilishinda 11-10 mwenye kumbukumbu na mechi iyo tafadhali
  2. Nash mjamaica

    BREXIT Kumng'oa Waziri Mkuu Uingereza?

    Vp kura za kutosha au ndo za uchache wa wenye imani nae?
  3. Nash mjamaica

    INTERNSHIP: Wanahitajika maafisa mikopo wawili kwa haraka Babati Mjini

    Unaonaje kama ukitaja jina la iyo kampuni ya mikopo/shirika ili tujue ni tasisi gani?mbona inaonesha brand ya iyo kampuni ako kizungumkuti ndo maana uoweki hadharani.....tupe jina mkuuuui
  4. Nash mjamaica

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Nisaidieni link ya kuangalia online mechi hii ya liva na napoli wadau
  5. Nash mjamaica

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Link online ya kuangalia game ya arsenal na Huddersfield jaman please link nzuri ambayo haina buffering kibao
  6. Nash mjamaica

    Hii ndiyo mara yangu ya kwanza na ya mwisho kutumia vumbi la Kongo

    Tengeneza hoja kama alokujibu mkuu co shortcut kivoo we learn something mkuu kutokana na hoja zenu
  7. Nash mjamaica

    Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

    Hivi uyu magamba matatu muandishi wa hii thread bado yuko apa jamvini kweli....maana ye ni zaid ya mtabiri daah....be blessed man/madam
  8. Nash mjamaica

    Mikoa na Sehemu wanapotoka Mawaziri na Manaibu Waziri wateule wa Tanzania

    Arusha na knjaro msimu huu atuna waziri kamili
  9. Nash mjamaica

    Roho imeniuma sana

    je kashawai kukufanyia hvyo b4?? ? dnt panic dada labda na yy hakuwa vizur kiuchumi Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Nash mjamaica

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    mkuuu naomba niwe mmojawapo wa iyo group la 300 wa mwanzo keep us informed
  11. Nash mjamaica

    Utunzaji wa nywele za asili

    Weka na bei zake tafadhali,mtwara yanapatikana
  12. Nash mjamaica

    The HSPs (Highly Sensitive Persons)

    Nitajitathmin vp wakati cjijui?viashiria ni vp
Back
Top Bottom