Roho imeniuma sana

Roho imeniuma sana

Best mi sio tegemez hata kidogo ninabiashara yangu inanilipa tu
Nadhan imetokea tu kanipigia sikua nyumban na aliniambia yuko hoi anaumwa kwel sikurud hata nyumban kuchukua hela,,,bht nzur nilikua na hela kwenye manyonyo tena ulikua ya upatu,, ikabidi niende nafika ananiambia nilikumiss nikuone tu,,,,
Asubuh kaamka namwambia unajua sina nauli akaniambia poa
hivi ingelikuwa kweli kwamba anaumwa alafu itokee kwamba hakuwa na hela ungemsaidia vipi katika issue za hospital?
 
Mimi si sapoti kitu hapo Mimi kama mwanamke sawa navojua unapokuwa katika mahusiano Na mtu wako sio kila ukikutana nae akupe pesa ujue nae binadamu unaweza kujikuta hana sizani kutokukupa hela nanimtu wako labda useme hakupendi pia wakati anakuita umekurupuka mwanamke jitaidi usikose ata 2000 tu kwa Pochi mfano ungekuta anaumwa kweli ungemuomba sawa mpaka anairudia 500 maana hana kitu Jamani kuwa Na mwanaume sio ndoawe kitega uchumi mfano anakuita upo home huna nauli mwambie baby but sina nauli ujue kama anayo atakwambiaje au anayo atakwambiaje bila mwanaume akiwa Wa kwako kula tunda lake sio mpaka alipe Jamani usingeondoka kwakuwa umemwambia kajibu poa upo kwake tulia msubilie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umemuelewa mama pita lakini ebu msome tena vizuri

ila some time wanaume tunazingua sana tena sana hasa tukipata DEMU ganda la ndizi tunakuwa tunazingua mpk wanachoka wanalala kona haiwezekani demu/mchumba wako aje kwako alale usiku kucha Asubuh unashindwa kumpa hata elf tano ya nauri kisa tu anafanya kazi hata kama ndio ana kazi yaje ila mwanaume ni mwanaume tu unatakiwa ujiongeze
tunasahau kuwa
HUDUMA zikiwa DUNI na
UAMINIFU unakuwa DUNI
Nice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninampenz wangu tuna muda kama miez 6 hv..
Jana aliniita kwake kua anaumwa ajisikii poa nami nikaenda kwake kama kumuona kufika kumbe mtu mzima tu et nilitaka nijue kama unanipenda
Sababu mda ulikua umeenda nikaamua kulala kwake
Kilichoniuma tumelala asubuh kaamka kaenda kazini mi naamka hajaniachia hata nauli sijakaa kama dakika 20 hv akarudi alisahau kitu mi sikuambia kitu nikafikiria labda alisahau kama binadam au alikua ninayo,,,kumbe aliacha 500 mezan akairudia akaichukua
Nimeamka sina nauli kibaya nikwamba alivyonishtua anaumwa hata poch niliacha nyumban....
Wapendwa nimeumia sana maana nimehangaika nimemtumia msg my sina nauli...kakaa kimya hajajibu mpaka sasa hv nilichokifanya nikamwambia rafik yangu akanitumia...
Moyo umeniuma sana kwel kwa mtu unaempenda kwel unamfanyia hivyo.. Wht if nisingepata mtu wakumitumia
Sasa Mama Pita Kwann Usimwambie Pita Akuletee Pochi Yako Au Akutumie Pesa Iliyopo Kwenye Pochi Yako??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa amefanya vizuri sana. Umekwenda kumwona mgonjwa, ulimpelekea nini mfano, juice, dawa za kutuliza maumivu, nk.

Je eneo la mchezo mbona hukusema? Maana huenda hapo ndo tatizo lilipo.

Tatu, anataka kuona kama unaweza kuhandle difficult situations na bado upendo kwake ukabakia intact...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninampenz wangu tuna muda kama miez 6 hv..
Jana aliniita kwake kua anaumwa ajisikii poa nami nikaenda kwake kama kumuona kufika kumbe mtu mzima tu et nilitaka nijue kama unanipenda
Sababu mda ulikua umeenda nikaamua kulala kwake
Kilichoniuma tumelala asubuh kaamka kaenda kazini mi naamka hajaniachia hata nauli sijakaa kama dakika 20 hv akarudi alisahau kitu mi sikuambia kitu nikafikiria labda alisahau kama binadam au alikua ninayo,,,kumbe aliacha 500 mezan akairudia akaichukua
Nimeamka sina nauli kibaya nikwamba alivyonishtua anaumwa hata poch niliacha nyumban....
Wapendwa nimeumia sana maana nimehangaika nimemtumia msg my sina nauli...kakaa kimya hajajibu mpaka sasa hv nilichokifanya nikamwambia rafik yangu akanitumia...
Moyo umeniuma sana kwel kwa mtu unaempenda kwel unamfanyia hivyo.. Wht if nisingepata mtu wakumitumia

Ahahahaaaaaa uwiii mbavu zangu mie, pole sana mama pita.
Kwahiyo na miatano akairudia ahahahaaaaaa
 
Back
Top Bottom