The HSPs (Highly Sensitive Persons)

The HSPs (Highly Sensitive Persons)

Of course he will.

Nyani understands that people are different. Different in every sense of the word.

Some are stoic and some, like you, wear your heart on your sleeve.

It's life.

And life is this big old intricate phenomenon and he embraces it wholeheartedly.

No half-steppin'.
Welcome to my world.
 
Thank you ever so much!
And just so u know, when I connect to u, it's body, mind and soul.

The fact that we are highly sensitive and intuitive, when a person i connect with gives me a handshake, I just know that am connected to the person on a higher level.

The connection is unbreakable.

It's weird.
 
Wait, did you say 'body' also? And unbreakable? I shall add unshakable and impregnable as well.

I must be the luckiest man alive
upload_2016-9-1_0-9-18.jpeg
 
Nimetoka mweupe, ila nimefurahi watu wanavyochangia kwa kuelewana vizuri, inaonekana ni kitu kizuri mnaongelea.
Raimundo umenifurahisha sana. Yaani nimecheka sana. Kwahiyo hujawaelewa kabisa, ila unahisi watakuwa wanaongelea kitu kizuri!!
 
Reina, Mimi nadhani nilidhani nilikuwa HSP, lakini kwa maelezo yako huenda Sikuwa HSP bali Introvert. Kipindi nikiwa mdogo primary school Nilipata lawama kuwa Sikuwa najichanganya na wenzangu.

Hali iliendelea mpaka nilipoingia secondary. Mimi nilisoma Azania miaka hiyo ikivuma sana, nikazidi kusemwa kuwa naringa kwasababu ninasoma Azania. Mtaani kwetu nilijulikana kwa sifa hiyo. Sikuwa naringa bali sikuwa naweza kabisa kukaa na watu tukapiga story, nikisalimia basi nakuwa Sina la ziada, hii ilisababisha pia Mimi kutokuwa na mahusiano ya kimapenzi kwa kipindi chote nilipokuwa shule.

Nilipozidi kusoma na kukutana na watu mbalimbali pamoja na changamoto kadhaa nilianza kubadilika kiasi. Ingawa sikubadilika sana. Baada ya kuanza kazi nilijikuta nalazimika kuwasiliana na watu wengi tena nikiwa kiongozi hivyo kulazimika kutoa maelekezo, kujibu hoja na maswali. Miaka mingi baadae, mimi sipo kama awali

Ushauri wangu ni kwa HSP kutojidekeza kwenye hali hiyo. Jilazimishe walau kwa muda fulani utabadilika. Ukijidekeza kuwa wewe ni HSP then utabaki kuwa hivyo. Na jamii zetu watakutafsiri unaringa.
 
Being an HSP (Highly Sensitive Person) has taken a toll on me.
People don't understand us. We connect with animals, music, nature, than anything else...we prefer a solitary life so that we can digest everything around us. We have a lot to process.

Social interactions and gatherings are overwhelming to us, they are simply irritating. We get to understand people's emotions at a deeper level than an average person.
We look too much into people and things. We are highly intuitive. We see details that others don't. We are about 15-20% of the world population.

We cry over anything, from watching a sad cartoon movie to seeing an animal getting hurt...it just becomes too much to take in. Horror movies, anything scary is unbearable.

My family and people around tell me to toughen up, they think am weak, too emotional, a crying baby, but that's who I am (an HSP), it's genetic. It's not a disease. They just need to take it easy with me.

Relationships are usually tough on us because we don't connect with people easily (not even to our partners). And the fact that we are highly sensitive to our surroundings ie. Noise, smell, weather, fabrics, skin, makes matters worse.

I love my Personality.

Does anyone connect?

Kwa kufupisha maneno, nyie ni complicated people. Period
 
kuna vtu umeviongea nahisi ninavyo,nahisi naweza kuwa HSP lakini sitaki kukubali hyo kitu ni genetic.sijafanya research though,me naona kama kuwa HSP ni udhaifu uliocost unaocost na utaocost maisha yangu,me kila siku niamkapo nastruggle niondokane na hiyo hali.na naamini kuhusisha hii hali na genetics kunamfanya mtu ajiendekeze ku-act different kwa sababu ya kuamini ni traits alizozaliwa nazo na wakati nadhani mtu unaweza kubadilika angalau kuelewana na watu katika jamii.
Kama wewe ni HSP ni HSP tu, hainaga kujiendekeza hata kidogo.

Lakini pia unaweza kudhani wewe ni HSP kumbe sio. Fanya inner searching ujijue wewe ni mtu wa aina gani.
 
Being an HSP (Highly Sensitive Person) has taken a toll on me.
People don't understand us. We connect with animals, music, nature, than anything else...we prefer a solitary life so that we can digest everything around us. We have a lot to process.

Social interactions and gatherings are overwhelming to us, they are simply irritating. We get to understand people's emotions at a deeper level than an average person.
We look too much into people and things. We are highly intuitive. We see details that others don't. We are about 15-20% of the world population.

We cry over anything, from watching a sad cartoon movie to seeing an animal getting hurt...it just becomes too much to take in. Horror movies, anything scary is unbearable.

My family and people around tell me to toughen up, they think am weak, too emotional, a crying baby, but that's who I am (an HSP), it's genetic. It's not a disease. They just need to take it easy with me.

Relationships are usually tough on us because we don't connect with people easily (not even to our partners). And the fact that we are highly sensitive to our surroundings ie. Noise, smell, weather, fabrics, skin, makes matters worse.

I love my Personality.

Does anyone connect?
OMG!!!i cant believe im falling in ur explanation of who am i really are!!90% it is relevant with my behaviour..i never knew this....please renee can you tell me where i could find more about this HSP's in details tafadhali,i will appreciate
 
Reina, Mimi nadhani nilidhani nilikuwa HSP, lakini kwa maelezo yako huenda Sikuwa HSP bali Introvert. Kipindi nikiwa mdogo primary school Nilipata lawama kuwa Sikuwa najichanganya na wenzangu.

Hali iliendelea mpaka nilipoingia secondary. Mimi nilisoma Azania miaka hiyo ikivuma sana, nikazidi kusemwa kuwa naringa kwasababu ninasoma Azania. Mtaani kwetu nilijulikana kwa sifa hiyo. Sikuwa naringa bali sikuwa naweza kabisa kukaa na watu tukapiga story, nikisalimia basi nakuwa Sina la ziada, hii ilisababisha pia Mimi kutokuwa na mahusiano ya kimapenzi kwa kipindi chote nilipokuwa shule.

Nilipozidi kusoma na kukutana na watu mbalimbali pamoja na changamoto kadhaa nilianza kubadilika kiasi. Ingawa sikubadilika sana. Baada ya kuanza kazi nilijikuta nalazimika kuwasiliana na watu wengi tena nikiwa kiongozi hivyo kulazimika kutoa maelekezo, kujibu hoja na maswali. Miaka mingi baadae, mimi sipo kama awali

Ushauri wangu ni kwa HSP kutojidekeza kwenye hali hiyo. Jilazimishe walau kwa muda fulani utabadilika. Ukijidekeza kuwa wewe ni HSP then utabaki kuwa hivyo. Na jamii zetu watakutafsiri unaringa.
Nibadilike kwa ajili ya jamii? Ili jamii isinione naringa? No way.

Hivyo ndivyo nilivyo na nafurahia personality yangu.

Wewe inawezekana hukuwa HSP, ulikuwa na aibu tu. HSP anakuwa sensitive hata kwa harufu tu, miguso ya watu na vitu.

Ukiingia mahali unaona vitu ambavyo watu wengine hawaoni, pazia lilivyokaa vibaya, kitasa kilivyopinda, zuria lilivyojikunja kidogo, kialama (spot) kwenye sakafu...etc

Na unaprocess hivi vitu vyote akilini...ni vitu vidogo lkn kwetu sisi si vya kupuuza hata kidogo.
 
Hahaha nakuelewa sana.
Ukiingia ofisini kitendo cha kukutana tu na watu koridoni unaanza kusisimka, wkt mwingine unatamani hata ubadili njia ukikutana na watu unaowafahamu.

Ukitoka outing na marafiki, ukirudi unaona unahitaji muda wa kurecover. Unakuwa exhausted sana (being around people exhausts u).

Vipi kuhusu maumivu, unaweza kustahimili maumivu? (pain tolerance)
Kingine jamani siziwezi kurupushani, mara sijui kwenda kariakoo kukurupua nini, naweza kusema naenda kariakoo nikifika natafuta sehemu nakunywa zangu juice narudi nyumbani, au sijui daladala jamani naweza jikuta sina hela lakini nachukua tax hata elfu 40 ili mradi tu niwe nimerelax, kwanza nikienda kwenye mziki au bar yani nahisi nachanganyikiwa na ile miziki, kwanza maeneo kama hayo labda niwe na mpenzi wangu tena awe ni mtu anayejielewa (napenda mtu ambae amenizidi sana xoz i feel more secured) ambae tunaweza kuongea mambo ya msingi sio yule anaamka na bia mkononi anaenda kwa stage kucheza, maana naweza kupata hasira nikupige hata kwenzi, kingine jamani nikimpenda mtu naweza hata kufa maana siwezi kucheat siwezi kufanya nini, yani napenda from head to toe, nazama mzima mzima, halafu sasa nakuwa nauwezo wa kugundua kama huyu mtu labda leo hayupo katika mazingira mazuri au anacheat na nikipiga simu tu nagundua au kuna maswali ambayo naweza kumuuliza anajiuma uma baadae anajikuta amesema tu ukweli, kingine ninakuwa na hasira za haraka lakini zinawahi kuisha, mfano hata ni mdogo wangu kaniudhi naweza hata nikampiga hapo hapo halafu nikisharudi kukaa mwenyewe nikirewind najikuta namuomba msamaha, kingine sipendi kabisa kukaa na hasira/ kitu chochote moyoni yani siwezi mpaka ni-solve siku nyingine mpaka nashindwa kwenda kazini najikuta naomba ruhusa kama naumwa maana siwezi kufanya chochote mpaka sura inabadilika, mpaka nitafute suluhu kwanza, halafu kuna watu wanakwambia eti ukiwa na stress uende unywe pombe, for sure i cant, mimi nikiwa na stress naweza kujifungia ndani hata siku mbili sitaki kelele yetote, naweza jikuta the whole week sijawasha tv na redio mpaka kifurushi cha dstv kilishaisha wala sikujua, in short thats how I am
 
Kwa kufupisha maneno, nyie ni complicated people. Period
HSPs hawacomplicate maisha kabisa.. Wako simple, tuned to nature.

Binafsi hata kujiremba sana siwezi coz nachoka. Kusuka rasta, sijui mawigi, weaves, make up... Kwenda na fashion trends it's just too much and overly stimulating.
 
Sometime inaboa kujua na kukumbuka details ambazo wengine hawakumbuki. Na utakuta zinawahusu wao zaidi ya zinavyonihusu.
Naweza tofautisha hisi kwa harufu ya mtu.
Nasikia harufu ambazo wengine hawajui.
Sipendi kelele.
Tofauti ndogo tu ya hali ya hewa mwili wangu unaihisi.
Nilikuwa najua niko sensitive zaidi, najikubali. Vingine ambavyo havinisaidii napigana navyo niviache ila vita yake si rahisi.
 
Nibadilike kwa ajili ya jamii? Ili jamii isinione naringa? No way.

Hivyo ndivyo nilivyo na nafurahia personality yangu.

Wewe inawezekana hukuwa HSP, ulikuwa na aibu tu. HSP anakuwa sensitive hata kwa harufu tu, miguso ya watu na vitu.

Ukiingia mahali unaona vitu ambavyo watu wengine hawaoni, pazia lilivyokaa vibaya, kitasa kilivyopinda, zuria lilivyojikunja kidogo, kialama (spot) kwenye sakafu...etc

Na unaprocess hivi vitu vyote akilini...ni vitu vidogo lkn kwetu sisi si vya kupuuza hata kidogo.
Dah! Ni kweli Reina. Kama ni hivyo basi Mimi sikuwa HSP. Ila sidhani kama ni aibu tu, nilikuwa zaidi ya mtu mwenye aibu. Sikuwa napenda kwenda club wala sherehe zozote including harusi. Sikupenda interaction na watu. Nilipendelea solitary life.

Ni kweli nilikuwa sensitive na vitu lakini si kihivyo. Kuna wakati nikiwa Udsm niligusa maji machafu bafuni(hall two), nilipata malengelenge kwenye miguu na mikono. Wenzangu wakanicheka na kusema ni mtoto wa mama!

Nilipoenda depo (jeshini), hayo maji machafu ilikuwa ni kama mafuta tu mwilini na sikupata malengelenge wala reaction yoyote. Hakuna room ya kuwa peke yako. Kazi za kule ni ushirikiano, Hata darasani lazima mshirikiane. Ukifaulu sana peke yako unapigwa tifu. Ukifeli peke yako tifu (extra drill ). Mchakamchaka, rootmach, kifupi kila kitu ni kwa group (combania ama platoon). Mafunzo si chini ya miezi tisa. Mbaya zaidi Wengine zaidi ya mwaka. Huko maafande hawajui kitu kinaitwa HSP. Tena ukijifanya kuwa solitary utakoma maana usiku wakati wa disco(askari wanajua maana yake) wewe ndiye utakuwa mwimbisha nyimbo, depo zima likiwa pamoja, macruta wote na maafande wakikutazama na kukuita majina yote ya viungo vya mwili hasa vile vya siri. We fulani (wanataja kiungo muhimu). Kwa mwaka mzima, na muda wa kulala ukiwa masaa manne au matatu tu. Hivi hiyo HSP itatoka wapi Reina? Otherwise ufe!
 
Inawezekana bado ni HSP lkn umeizika hiyo hali kwa nguvu zote maana unaamini ni hali mbaya na inakutenga na jamii.

Kuwa HSP haina maana hauchangamani na watu, unachangamana na unakuwa mshauri mzuri sana kwa kuwa unaelewa hisia za wengine.

Lakini je, unakuwa ktk ubora wako, unakuwa na inner peace, fulfillment, furaha ya ndani unapokuwa mwenyewe au unapokuwa ktk watu?

Je unakuwa na mambo mengi ya kufikiria mpaka unaona unahitaji muda wa kukaa mwenyewe?

Unatakiwa ujichunguze.
 
Sometime inaboa kujua na kukumbuka details ambazo wengine hawakumbuki. Na utakuta zinawahusu wao zaidi ya zinavyonihusu.
Naweza tofautisha hisi kwa harufu ya mtu.
Nasikia harufu ambazo wengine hawajui.
Sipendi kelele.
Tofauti ndogo tu ya hali ya hewa mwili wangu unaihisi.
Nilikuwa najua niko sensitive zaidi, najikubali. Vingine ambavyo havinisaidii napigana navyo niviache ila vita yake si rahisi.
Je hupendi mtu ajisikie vibaya kwa sababu yako? Hupendi kuudhi watu?

Je unakuwa na wasiwasi wa kufanya maamuzi ambayo si sahihi?
 
Back
Top Bottom