Recent content by nasemakweli

  1. nasemakweli

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wapenzi wenzangu wa "The Blue" mbona kimya, au na ninyi mmeenda International Break?
  2. nasemakweli

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kwa usajili mkubwa kama huu wa zaidi ya paundi mil 220 haina maana ndio tunakuwa washindani wa kombe la ligi Wenzetu sasa hivi wanaziba viraka vidogo vidogo na zinaonyesha impact baada ya kufanya usajili mkubwa wa zaidi ya paundi mil 300/400 mfano Liverpool baada ya kufanya usajili mkubwa 2017...
  3. nasemakweli

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wewe nani?
  4. nasemakweli

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Chilwell na Azpi, mimi naonelea Azpi apewe nafasi zaidi ya Reece james huyu reece kinachombeba ni kwenda mbele na kupiga krosi nzuri otherwise naye sio mzuri nyuma kama Azpi
  5. nasemakweli

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hivi Kepa na Alonso huwa wanabugia dadi na chang'aa kabla ya kuingia uwanjani nini? The guys are always not serious
  6. nasemakweli

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    3-3 sio mbaya Tulikuwa nyuma kwa dakika 93 na ushee
  7. nasemakweli

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wachezaji woote watabadilika kwa sababu ya ushindani isipokuwa Alonso, sikio la kufa
  8. nasemakweli

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kilipangwa vibaya Tammy angekuwa striker wa pekee na Werner acheze kushoto, Havertz kati
  9. nasemakweli

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Nadhani kapanga hivyo ili Mount na Havertz wacheze wide kwa uhuru zaidi
  10. nasemakweli

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Everybody in this world has a sweeter, KEPA akinolewa akarekebisha makosa yake na hiyo kazi inaendelea, atauzwa hata Mil 60 na zaidi
  11. nasemakweli

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Alvaro Morata, mchezaji mwenye bahati Alinunuliwa Chelsea mil 74 akauzwa mil 58 akaipa Chelsea hasara ya mil 26 Alitoka AM na bado AM wakamnunua kwa pesa nyingi kutoka Chelsea Alitoka Juventus na hakucheza vizuri sana lakini amerudi tena Juve na wakamkubali kumchukua wakijua aliflop huko Huyu...
  12. nasemakweli

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Petr Cech alisajiliwa akitokea Rennes na kuja kuwa Kipa bora kuwahi kutokea Duniani Edouard Mendy naye kasajiliwa akitokea Rennes na kama mahesabu yanalandana naye atakuwa BIG name ndani ya jezi ya Chelsea
  13. nasemakweli

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Maoni yangu juu ya Che vs Ban jana kwa ushindi wa 6-0 pale Darajani Cleansheet jana Caballero kaisotea kwelikweli na kwa udakaji ule, Cabalero ni GK bora kuliko Kepa, Jana alicheza vizuri sana Tammy abraham jana kakopi staili ya Giroud katoa assists nzuri takriban zote alizofunga Havertz Kwa...
  14. nasemakweli

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hakuna popote nimesema hivyo
Back
Top Bottom