Recent content by Napoleon Jr

  1. Napoleon Jr

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Lembu nipo nafatilia endelea kutupa mrejesho
  2. Napoleon Jr

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mbele mbona pako sawa tuu...hapo bado reece james na chilwell hawajaongezeka Pia nazan ata enzo leo atacheza juu zaidi
  3. Napoleon Jr

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kwa hii line up ya kwenye karatasi ingekua ndo inavyoonekana ndo inavyocheza leo madrid alikua anakufa nyingi sana... Ila sasa tuje uwanjani....sijui shida inakua nini
  4. Napoleon Jr

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Labda tukiwa wengi watatusikiaa
  5. Napoleon Jr

    JE NIKIPOST FACEBOOK ADS NA KUWEKA TICKKWENY ICON YA INSTAGRAM TAKATWA PESA MARA MBILI

    Hapana boss iko hivi budget utakayoweka itatumika kotekote Yani kama uliweka dollar 5 zitatumika hizohizo usiwe na wasiwasi... n.b budget unayoweka fb wanaweza kuivuka kidogo au kutumia chini kidogo ya bajeti hiyo kulingana na siku
  6. Napoleon Jr

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mwenye link ya kuangalia mechi ya chelsea vs leicester anisaidiee
  7. Napoleon Jr

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    mwalimu hii mpaka inanifikia mkononi itagharimu sh ngapi...
  8. Napoleon Jr

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Mambo vipi waheshimiwa...zinahitajika 100pc kwa ajili ya watoto wa shule za msingi anaeuza au anejua mahsli panapouzwa naomba anisaidiee...nikipata kwa dar au Mwanza itapendeza zaidi
  9. Napoleon Jr

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    hapo pamoja mzee...kipind cha pili tutakua pamoja...
  10. Napoleon Jr

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    boss mi nilikua mwanachama wa hesgoal...kwenye kitonga
  11. Napoleon Jr

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    wakubwa naomba tusaidiane link au app ya kucheki hii mechi live...
  12. Napoleon Jr

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Naomba mwenye connection ya mabegi ya mtumba especially ya wadada kama yupo anisaidie namba tufanye biashara.
  13. Napoleon Jr

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Haya majina yanaweza kukuvunja mbavu...
Back
Top Bottom