Ukichelewa kuchukua hatua dhidi ya mtuhumiwa yeye anachukua hatua.
Kwa hili tu la nyaraka kughushiwa na akaunti kufunguliwa ndivyo sivyo basi hatua ilikuwa muhimu kuchukuliwa. Labda kama taarifa au ripoti na mapendekezo ya bunge yalikuwa porojo tu.
Kwani wapinzania wengine wako wapi? Nao pia wanaendesha vibaya? Tukubali tu kuwa CCM kwa sasa bado imeshika hatamu! Upinzani wajipange wajue nini siri ya mafanikio ya CCM. Daftari inaweza ikawa sababu mojawapo lakini bado kazi inatakiwa ifanywe na upinzani sio kutegema kampeni za wiki mbili and...
Hongera CCM.
Lakini ninachoshangaa ni watu kuisema tu Chadema kwani vyama vingine havipo? Lazima Vyama vyote vifanye kazi kwa bidii ili zipate uwakilishi!
Hongera CCM!
Hongereni vyama vyote vilivyoshiriki uchaguzi na kukubali matokeo. Wananchi wamepasa sauti zao kwenye sanduku la kura. Hakuna aliyeshindwa bali kuna ambao kura hazijatosha na kesho zinaweza kutosha. Hongereni kwa uchaguzi wa amani. Hongereni waliotangazwa washindi. Hongereni CCM kwa kukubali...
Top 100 Universities in Africa | 2013 World University Ranking
www.4icu.org/topAfrica/Cached - Similar
You +1'd this publicly. Undo
2013 World University Ranking: top 100 Colleges and Universities in Africa by the 4icu.org University Web Ranking
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.