Mchanganuo wa matokeo ya udiwani ..ccm kidedea.

Mchanganuo wa matokeo ya udiwani ..ccm kidedea.

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,062
Reaction score
3,280
.

Mchanganuo wa matokeo hayo katika baadhi ya kata kwa ufupi:

KUTOKA BAGAMOYO KIBINDU.Matokeo ya jumla: CCM- kura 1682(75%),CHADEMA- kura 548(25%).

MAGOMENI :Matokeo kwa jumla: CCM 1183, CUF 708, CHADEMA 347.

KUTOKA LINDI NA MTWARA.CCM imeshinda Kata Zote za Uchaguzi Uliofanyika jana .

NACHINGWEA....ADC -9 CUF -110 CHADEMA -188 CCM -517.

KUTOKA KIGOMA JIMBONI KWA ZITTO KABWE: CHADEMA wamepoteza kata ya MKONGORO Jimboni KWA Zitto Kabwe,Imechukuliwa na CCM(Kata Ilikuwa Inaongozwa na CHADEMA).

KUTOKA MOSHI. Kata ya Kiboroloni imebakia CHADEMA

KUTOKA KONDOA: CCM --1,296 CUF--935. CDM--29 NCCR--34

KUTOKA SOMBETINI JIJINI ARUSHA - CHADEMA Imeshinda Kata ya Sombetini kwa 2548 na CCM 2077

KUTOKA RUNGWE MKOANI MBEYA. CCM Imeshinda kata ya Malindo na Matokeo rasmi Kata ya SANTILYA-Mbeya Vijijini. CCM - 1650 CDM - 1154.

KUTOKA MANYARA KITETO: CCM Imeshinda kata Zote mbili ikiwamo ya Partimbo.

KUTOKA KAHAMA KIBAGWE :CCM Imeshinda Kata ya Kibagwe (kulikuwa na Kata moja tu ya Uchaguzi).

KUTOKA BUNDA : CCM Imeshinda (Kulikuwa na Kata Moja ya Uchaguzi).

KUTOKA NJOMBE MJINI: Chadema Imeshinda ( Kata Ilikuwa Moja tu ya Uchaguzi).

KUTOKA LUDEWA :CCM imeshinda,Kulikuwa na Kata Moja ya Uchaguzi.

Hitimisho:
Katika kata 27 zilizofanyiwa Uchaguzi,CCM Imeshinda kata 24,Chadema Kata 3. Kwa Maana hiyo CCM Imeshinda Kwa Kishindo Uchaguzi huu hasa Ukizingatia UShindani wa Kisiasa Uliokuwepo siku za hivi Karibuni..
 
Kwa hiyo na hizo kata 3 ndo walibolesha Daftari? Hata Aje nani kubolesha Daftari maamuzi yatakuwa bado kwa wananchi tu sio kwenye Umati wa watu wamejitafuna wenyewe kwa njisi wanavyokiendesha Chama chao.
 
Watu wameibuka usingizini waliowalala tokea 2010 kushabikia chama cha wachaga kilichovaa ngozi ya "Upinzani"

Watu wamesema "YATOSHA" hatuwezi kuchagua chama ambacho mwenyekiti wake ana DIVISION YAI eti ndio mwenyekiti tehe tehe tehe
 
Hongera CCM.
Lakini ninachoshangaa ni watu kuisema tu Chadema kwani vyama vingine havipo? Lazima Vyama vyote vifanye kazi kwa bidii ili zipate uwakilishi!
Hongera CCM!
 
Kwa hiyo na hizo kata 3 ndo walibolesha Daftari? Hata Aje nani kubolesha Daftari maamuzi yatakuwa bado kwa wananchi tu sio kwenye Umati wa watu wamejitafuna wenyewe kwa njisi wanavyokiendesha Chama chao.
Kwani wapinzania wengine wako wapi? Nao pia wanaendesha vibaya? Tukubali tu kuwa CCM kwa sasa bado imeshika hatamu! Upinzani wajipange wajue nini siri ya mafanikio ya CCM. Daftari inaweza ikawa sababu mojawapo lakini bado kazi inatakiwa ifanywe na upinzani sio kutegema kampeni za wiki mbili and wiki moja tu!
 
Back
Top Bottom