Recent content by Nangetwa

  1. N

    Mfuko bora wa pesheni ni upi kwa walimu watarajiwa?

    Mimi ni mwanachama wa LAPF na ndio naona mfuko bora wa mafao. Vikokotoa vyao vya fao la pensheni ni vizuri sana wana mafao mengine na habari niliyopata wanaanzishwa fao la elimu na mkopo wa elimu wanasubiri tu go ahead ya actuary ambaye amepewa kazi ya kutest. PSPF wako mahututi na wanaendelea...
  2. N

    Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

    Ninavyoelewa hawezi kupewa dhamana na Mahakama Kuu maana sio Mahakama inayosikiliza kesi, kwa mantiki hiyo file litabidi lirudi mahakama ya Kisutu ndio hapo waombe dhamana ambayo inaweza kuwa hata in one day. All the best for him.
  3. N

    Msafara wa Secretariate ya CCM Kigoma: Nimeufananisha na ule msafara maarufu wa Kanal Ghadafi Jangwa

    ninapomuona mwalimu wangu Dr. Migiro naye kwenye msafara nikasema kumbe siasa mbaya sana. Yaani wanasiasa wanacheza sinema za mchana kweupe na kuishia kutudanganya wananchi. Mtu na akili zake anapanda treni dar mpaka kigoma ili afanyeje? kujifanya wananchi wa kawaida kumbe hamna lolote au...
  4. N

    Mgogoro wa Gesi Mtwara: Zitto Kabwe anapotosha Umma

    Mimi sio mpenzi sana wa Zitto lakini kwa hili la gesi ya Mtwara nakubaliana naye. Unaposema ujenzi wa bomba una maana vitu vyote vinavyohusiana na hilo bomba hata kama kutakuwa na ujenzi wa nyumba za kuishi wa waangalizi wa bomba zote ni gharama za ujenzi. wewe ndio mpotoshaji.
  5. N

    Mh. Waziri Mkuu Pinda asomewa LIVE TAMKO la Shura ya Maimamu Mkoa wa Mtwara

    Honestly, there is an issue behind Mtwara saga. We think we know the problem and we have solution but I guess we have not read between the line what is behind the move. Pinda to me is the worst PM this country had has, the guy can't think independently and when he think no one listen since he is...
  6. N

    Sakata la gesi Mtwara: Kauli ya Profesa Muhongo

    Mimi kwa maoni yangu nafikiri suala la gesi mtwara linaendeshwa kisiasa sana. Ungeniuliza mimi ningekuambia suala la msingi ni jinsi gani mapato ya gesi yatawasaidia wana mtwara na wananchi wa Tanzania kwa ujumla. Issue sio wapi inazalishwa na wapi inapelekwa tunataka mapato ya gesi tu sio...
  7. N

    Philip Mangula ateuliwa kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM

    Kiamsingi bwana mkubwa mwaka 2005 alitaka kuweka watu wake akiamini kuwa he is the best to the post na kuumaliza mtangulizi wake ili aonekane yeye ndio mzuri. Leo hii anagundua kuwa aliowaamini ndio wamemuangusha wanagombea madaraka kama machangudoa wanavyogombea mwanaume mwenye hela. It is a...
  8. N

    Zitto Kabwe Anajenga Hoteli ya Kifahari! [Zitto kafafanua]

    Acheni majungu hiyo inayoitwa hoteli ya zitto hata nyota tatu haifikii ni hotel ya kawaida tu ambayo mtu yoyote aliyewekeza kidogo anaweza kupata hizo hela za kujenga.
  9. N

    Prof Lipumba aenda World Bank

    Prof Lipumba kwa mda mrefu anajulikana na mchumi mzuri sana na hata ukimsikiliza akichambua hoja za kiuchumi kweli anajua na unapenda. Siasa za Tanzania hazina lolote na kama mpinzani hazilipi kabisa so ngoja aende kutafuta hela za maisha yake binafsi.
  10. N

    Mahakama ya Kadhi vs BAKWATA!

    hii hoja imeshafungwa kitambo sasa cha kuongea ni nini hapa. Tufikiria mengine not this anymore.
  11. N

    GE2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Hizi ama kweli ni siasa uchwara cha msingi ni hoja ya mtu sio udhaifu wa mwingine. Ndio maana siku zote nasema siasa ya bongo hazina mwelekeo wowote watu wanaacha kujadili shida za wananchi wa Igunga wanaanza kusema sijui yule ana nini na huyu yukoje.
  12. N

    Tuhuma toka WikiLeaks: AL BAWARDY wajibu mapigo

    I believe there is some element of truth in this saga. Haiingii akilini Balozi mzima kumtuhumu rais kwa kitu ambacho hajafanya.
  13. N

    Kainerugaba Msemakweli anatumiwa - Saed Kubenea

    Ingekuwa vizuri kama Kubenea angesema Msemakweli anatumiwa na nani. Naye alete ushahidi wa jinsi fedha hizo zilivyotumika ili tusome na tucheje hizo data kuliko kusema tu mtu anatumiwa. Siasa za bongo zinakuwa hazina tija hata siku hizi. tunataka ushahidi tu.
  14. N

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    Umenena hapo, cha msingi ni kuwapa kisogo tu waache waongee yao na ukweli utajulikana tu, cha msingi mtu anapotaka shari na wewe alafu we ukawa mtulivu anakosa cha kufanya zaidi ya kujitapatapa. Mimi sioni haja yoyote ya kuzuia mijadala hii, ngoja ijadiliwe mpaka mwisho watakosa cha kuongea...
  15. N

    Rakesh wa KULEANA – HAKI ELIMU na sasa TWAWEZA ni KIVULI cha nani?

    Huyu alieanzisha hiyo thread hajafanya utafiti wowote bali naona kama ana lake jambo. Hizo athari ambazoo amesema sizioni katika ukubwa wa picha anayotaka sisi tuiamini. Kama amethubutu kufanya hayo mambo ni kwamba amefikiri anaweza kwa hicho kiasi chake kama amekosea anzisha yako na uendeleze...
Back
Top Bottom