Mahakama ya Kadhi vs BAKWATA!

@ nkwesa....majibu yako yamejikita katika yalayale,vijembe,dharau,hukumu.huona kwa maneno yako unazidi kubomoa,je ni ushauri gani makini unaoutoa kwa ndugu zetu waislam..nilivyo kuelewa ni kama unajaribu kusema kwamba uislam ndo tatizo...lakini ukiangalia kama waislam wanonekana kama hawadhamini elimu basi ni jukumu la jamii na serekali kuleta hamasa mpya kwa jamii hii.. tanzania ni ya wakristo waislam na wasio na dini
 
MAHAKAMA YA KADHI: jamii ya watanzania tunahitaji ELIMU YA NGUVU kuhusiana na mahakama hiyo hivyo serikali iwape nafasi waislamu waelimishe jamii yetu ili watoe michngo yao kwa uelewa na siyo kutishana, wala kutukanana si vizuri la hasha!!!!!!!!!!!!!!!! watu wengi wanaonekana wanjadili lakini wanonekana hawaelewi wanachomaanisha mwisho wanishia kutusi uislamu na waislamu kwa ujumla. mimi naona hilo ni jambo la msingi lipewe nafasi wwote ni wabongo!!!!!!!!!!!!!!1

Tusitukanane, tuache wahusika waanzishe mahakama yao. Nadhan itawasaidia. Tuheshimu dini na imani za wengine na tusitumie muda mwingi kufumbua fumbo ambalo lilishafumbuliwa.
 
mhm! haya kila na heri>>>>>>>> lets wait and use our eyes to see>>>>>>> Im sure >>>>>>> mambo hayatakwenda poa kwa wengi!
 
Ni dini ya upanga,ndiyo mana hawana maendeleo,na hata sadaka hawapendi kutoa kisa masheikh watafaidi,shule hawapendi kusoma,wamekalia mihadhara kuwakashifu wakristo wakati hao wakristo wameenda shule na wanamaisha mazuri sana,na wanajenga kila siku mashule,mahospitali,mavyuo.Mbadilike waislam jamani mtaacha lini kuwa na fikra mgando,na siss CCM tutaendelea kuwadanganya mpaka kesho mana nyie ndiyo wapiga kura wetu,wakristo kuwadanya kazi ndiyo mana hawatupendi

Hawana Maendeleo lakini Ndio wanaomiliki zaidi ya asilimia 80 ya mabasi ya mikoani na nchi za nje ushahihidi soma majina ya kampuni hizo mfano HOOD, ABOUD, SUMRI.................................. Magari ya mizigo soma pembeni ya magari hayo.

Biashara ya mafuta nchini angalia siku ya vikao vya wamiliki na EWURA. Majengo makubwa ya biashara jiijini yanamilikiwa na hawa wasiosoma, Kuanzia biashara za NGANO, vyombo vya usafiri wa maji hadi ice cream anamiliki huyu asiesoma.

Kimataifa fedha yenye thamani zaidi duniani sio Dola wala pauni LAKINI RIYAL NA DIRHAM. Jengo zaidi duniani halipo london wala New York lakini lipo kule kwa WAARABU Dubai.

Sisi tuliosoma tunasubiri ajira Serikalini, na tukipata mshahara haututoshi tunalia kuongozewa mshahara, na tukipata nzuri tunakua MAFISADI
 
Kwa kweli kuhusu mahakama ya Kadhi mimi naona Mhe. Rais yupo sahihi kabisa kusema mahakama yakadhi yaanzishwe na waislamu wenyewe na kuendeshwa nawao wenyewe.

Watu wanashindwa kulinganisha vitu kabisa, taasisi zakikiristo kupewa ruzuku ni sahihi kwasababu ya Taasisi zake ni kubwa ambazo zimebeba jukumu la serikali. Taasisi hizo baadhi yake ni Hospitali ya Bugando, KCMC, Lugarawa, Mbulu, Loliondo n.k zote hizi zinahudumia watanzania bila ubaguzi.

Mahakama ya Kadhi haiwezekani yapewe ruzuku halafu yahudumie waislamu peke yao. Angalieni sana mfano wa kristo wakanyimwa ruzuku kutoka serikalini halafu wakaamua hizo taasisi ziwahudumie wakristo tuu nyie waislamu ndio wakwanza kuumia jifikirieni marambili kuhusu haya malalamiko yenu yatawadhuru wenyewe, Ukiangalia shule ndio usiseme kabisa shule nyingi za kikiristo waislamu hawabaguliwi isipokuwa Seminari tu hivyo vyuo vikuuu vyote waislamu hawabaguliwi kabisa, Je?

Hawaoni wanafaidi ruzuku hii wanayolalamikia? Waislamu wamshukuru Mkapa kuwapa majengo ya Morogoro, inamana wasingekuwa na chuo kikuu mpaka leo. Wailamu jengeni shule zenu, jengeni vyuo,jengeni Hospitali ili mpate nanyie hiyo ruzuku.

Kulalamika hakuwasaidii wala kuandamana hakuta wasaidia hata kidogo, kulialia hakuta wasidia. Hakikisheni mnasomesha watoto wenu vizuri ili wawe na elimu yakutosha sio kualalamika kwamba mbona kwenye ajira wakristo niwengi, mbona kwenye kufaulu hamsemi wakristo wanafaulu sana?

Shule ambazo ni top ten sijawai ona ya kiislamu ktk topten ya waliofaulu unakuta waislam wawili ama wawatatu halafu unataka nakwenye ajira wawe sawa ebu fanyeni jitihada ktk ufaulu mzuri wa shule za kiislam. Nimekaa sana pale Arusha ktk Mkoa wa Arusha shule ya Bondeni inayomilikiwa na Waislamu ndio shule inayodharaulika kuliko zote. Sasa ebu fanyeni kazi kuhakikisha shule zenu ziwepo kwenye topten. Kulalamika hakuta wadaidia milele.
 
Kwa kweli kuhusu mahakama ya Kadhi mimi naona Mhe. Rais yupo sahihi kabisa kusema mahakama yakadhi yaanzishwe na waislamu wenyewe na kuendeshwa nawao wenyewe. Watu wanashindwa kulinganisha vitu kabisa, taasisi zakikiristo kupewa ruzuku ni sahihi kwasababu ya Taasisi zake ni kubwa ambazo zimebeba jukumu la serikali. Taasisi hizo baadhi yake ni Hospitali ya Bugando, KCMC, Lugarawa, Mbulu, Loliondo n.k zote hizi zinahudumia watanzania bila ubaguzi. Mahakama ya Kadhi haiwezekani yapewe ruzuku halafu yahudumie waislamu peke yao. Angalieni sana mfano wa kristo wakanyimwa ruzuku kutoka serikalini halafu wakaamua hizo taasisi ziwahudumie wakristo tuu nyie waislamu ndio wakwanza kuumia jifikirieni marambili kuhusu haya malalamiko yenu yatawadhuru wenyewe, Ukiangalia shule ndio usiseme kabisa shule nyingi za kikiristo waislamu hawabaguliwi isipokuwa Seminari tu hivyo vyuo vikuuu vyote waislamu hawabaguliwi kabisa, Je? Hawaoni wanafaidi ruzuku hii wanayolalamikia? Waislamu wamshukuru Mkapa kuwapa majengo ya Morogoro, inamana wasingekuwa na chuo kikuu mpaka leo. Wailamu jengeni shule zenu, jengeni vyuo,jengeni Hospitali ili mpate nanyie hiyo ruzuku. Kulalamika hakuwasaidii wala kuandamana hakuta wasaidia hata kidogo, kulialia hakuta wasidia. Hakikisheni mnasomesha watoto wenu vizuri ili wawe na elimu yakutosha sio kualalamika kwamba mbona kwenye ajira wakristo niwengi, mbona kwenye kufaulu hamsemi wakristo wanafaulu sana? Shule ambazo ni top ten sijawai ona ya kiislamu ktk topten ya waliofaulu unakuta waislam wawili ama wawatatu halafu unataka nakwenye ajira wawe sawa ebu fanyeni jitihada ktk ufaulu mzuri wa shule za kiislam. Nimekaa sana pale Arusha ktk Mkoa wa Arusha shule ya Bondeni inayomilikiwa na Waislamu ndio shule inayodharaulika kuliko zote. Sasa ebu fanyeni kazi kuhakikisha shule zenu ziwepo kwenye topten. Kulalamika hakuta wadaidia milele.
 
Mahakama ya kadhi haiwezi kuwa chini ya serikali alah wao anaroho mbaya sana ,atakata mikono watu!kwanza hata wakipewa kutakuwa hamna wateja utaskia hukumu mtu anachapwa viboko 80 pale posta!

Safety Last jitahidi unapotoa michango yako usikiguse kile watu wanachokiabudu kwa maana unaweza kuzua mgogoro mwengine. Kama mijadala tujadili nini kifanyike tuwe na Tanzania tunayoitaka na siyo kutukaniana dini na vile tunavyoviabudu.Mimi kama Muislam sijafurahishwa na kauli yako hiyo na naomba mwenyezi mungu akuhukumu kwa kauli yako hiyo. Jirekebishe Member
 
Kwa kweli kuhusu mahakama ya Kadhi mimi naona Mhe. Rais yupo sahihi kabisa kusema mahakama yakadhi yaanzishwe na waislamu wenyewe na kuendeshwa nawao wenyewe.

Watu wanashindwa kulinganisha vitu kabisa, taasisi zakikiristo kupewa ruzuku ni sahihi kwasababu ya Taasisi zake ni kubwa ambazo zimebeba jukumu la serikali. Taasisi hizo baadhi yake ni Hospitali ya Bugando, KCMC, Lugarawa, Mbulu, Loliondo n.k zote hizi zinahudumia watanzania bila ubaguzi.

Mahakama ya Kadhi haiwezekani yapewe ruzuku halafu yahudumie waislamu peke yao. Angalieni sana mfano wa kristo wakanyimwa ruzuku kutoka serikalini halafu wakaamua hizo taasisi ziwahudumie wakristo tuu nyie waislamu ndio wakwanza kuumia jifikirieni marambili kuhusu haya malalamiko yenu yatawadhuru wenyewe, Ukiangalia shule ndio usiseme kabisa shule nyingi za kikiristo waislamu hawabaguliwi isipokuwa Seminari tu hivyo vyuo vikuuu vyote waislamu hawabaguliwi kabisa, Je?

Hawaoni wanafaidi ruzuku hii wanayolalamikia? Waislamu wamshukuru Mkapa kuwapa majengo ya Morogoro, inamana wasingekuwa na chuo kikuu mpaka leo. Wailamu jengeni shule zenu, jengeni vyuo,jengeni Hospitali ili mpate nanyie hiyo ruzuku.

Kulalamika hakuwasaidii wala kuandamana hakuta wasaidia hata kidogo, kulialia hakuta wasidia. Hakikisheni mnasomesha watoto wenu vizuri ili wawe na elimu yakutosha sio kualalamika kwamba mbona kwenye ajira wakristo niwengi, mbona kwenye kufaulu hamsemi wakristo wanafaulu sana?

Shule ambazo ni top ten sijawai ona ya kiislamu ktk topten ya waliofaulu unakuta waislam wawili ama wawatatu halafu unataka nakwenye ajira wawe sawa ebu fanyeni jitihada ktk ufaulu mzuri wa shule za kiislam. Nimekaa sana pale Arusha ktk Mkoa wa Arusha shule ya Bondeni inayomilikiwa na Waislamu ndio shule inayodharaulika kuliko zote. Sasa ebu fanyeni kazi kuhakikisha shule zenu ziwepo kwenye topten. Kulalamika hakuta wadaidia milele.

Kwani hizo taasisi za kanisa hususan vyuo, shule na hospitali zinatoa huduma bure hadi useme zinastahili kupewa ruzuku. Jaribu kulinganisha gharama ya huduma katika taasisi hizo na serikalini kisha utuambie nini matumizi ya ruzuku kutoka serikalini kama huduma ni ghali kuliko hata serikalini
 
Mambo ya kadhi nafikiri Tanzania is a sdecular state sasa kadhi akihukumu hao wahukumiwa nani ata enforce hiyo sharia yao? Je akina Mkiristo nao watahukumiwa ama ni maamuma wa kiislam tu? so cinfusing
 
hii mahakama itahukumu vipi ndoa ambayo mume ni mkristo na mke muislam au mume muislam na mke mkristo? itahukumu vipi mirathi kwa ndoa za aina hiyo niliyotangulia nayo hapo, sababu ni kwa ajili ya waislamu tu
 
Kulingana na sheria za kiislaam ndoa hiyo haitambuliwi hivyo itahukumiwa ktk korti za kawaida kama ilivyokuwa awali...
 
hii hoja imeshafungwa kitambo sasa cha kuongea ni nini hapa. Tufikiria mengine not this anymore.
 
hii hoja imeshafungwa kitambo sasa cha kuongea ni nini hapa. Tufikiria mengine not this anymore.
Hapana mkuu wangu haijaisha isipokuwa inatakiwa kuweka vitu sawa badala ya kuacha nusunusu ili mradi hoja ni kuelimishana, tuache matusi.
 
Hivi kwa nn nyie wagalatia mnaumia sana kuhusu hii mahakama? kenya ipo chini ya selikali hata uganda pia so why TZ?
 
hii mahakama itahukumu vipi ndoa ambayo mume ni mkristo na mke muislam au mume muislam na mke mkristo? itahukumu vipi mirathi kwa ndoa za aina hiyo niliyotangulia nayo hapo, sababu ni kwa ajili ya waislamu tu
<br />
<br />
Kwa ndoa hizo hufungwa bomani, wao watahusika hukohuko, kama ulifunga msikitini sawa
 
Muya Yehova wenu ana roho nzuri kwa kuwa yeye kama Fisadi, si unaona alivyowaleta manabi wengi siku hizi kukusanya sadaka kwa nguvu mpaka kwenye mabasi.... tena anaoonekana kafulia saana
 
mahakama itawatambuaje watoto walio zaliwa kabla ya ndoa halali, wawe wa mume au mke
 
Hivi kwa nn nyie wagalatia mnaumia sana kuhusu hii mahakama? kenya ipo chini ya selikali hata uganda pia so why TZ?
<br />
<br />
kwahyo kwa upeo wako wa kufikiri kwakuwa mahakama ya kadhi kenya na uganda ipo chini ya serikali, na tz ndio unataka iwe hvyo? Ushndwe na ulegee changishaneni misikitini muendeshe wenyewe.
 
Back
Top Bottom