Tuhuma toka WikiLeaks: AL BAWARDY wajibu mapigo

kwa kadri hizi tuhuma zinavyozidi kupingwa ndivyo vinaongezewa ukweli, PR wa kilimanjaro hana access na raisi wetu? kweli?
hajui kishwahili so? kwani marakani wanaongea kishwahili? hawa jamaa wanajua wikileaks walikotoa hivi taarifa kweli?

au wanatumia TEMPLET kujibu tuhuma nzito kama hivi
 
Unajua tatizo la wana CDM mnaona ni sifa kumtukana raisi wa hii nchi lakini akitukanwa mtume wenu basi inakuwa tabu. wewe UWEZO TUNAO umesoma post zingine na umeona maneno yanayo semwa na wenzako juu ya Rais wa Tanzania? Ingekuwa wakati wa MKAPA hii JF ingesha fungwa siku nyingi.

Umesahahu kuwa 2008 alitaka kuifunga na akashindwa? utaifunga JF ila huwezi funga mawazo ya watu
 
Alisema HUWEZ KULA BILA KULIWA KIDOGO,WE UNATAKA KULA BILA KULIWA!HIYO HAIWEZEKANI.Uhalisia wake ndo huo,jamaa tuchague RAIS SIO RAHISI ili kuondoka na aibu kwa Tz yetu
 
ni watu wenye akili za kibangi bangi ndio wanaofanya hii habari kuwa dili, yani hii stori ya suti ndio mnaoitumia kutafuta umaarufu. kweli mlishafilisika ki mawazo.

Swali: yule muhindi alietoa pesa za kampeni chadema alimpakata nani? Milioni mia haziwezi toka kiulani tu, lazima kuna kitu kapewa.

Malizia basi utwambie alipewa nini?
 
e1.jpg

e3.jpg

e2.jpg

jkkss.jpg

Watajibu mapigo sana tu mwaka huu.Ila tayari msg sent ama wanataka wawekewe sauti zao wakati wa maongezi???
 
Unajua tatizo la wana CDM mnaona ni sifa kumtukana raisi wa hii nchi lakini akitukanwa mtume wenu basi inakuwa tabu. wewe UWEZO TUNAO umesoma post zingine na umeona maneno yanayo semwa na wenzako juu ya Rais wa Tanzania? Ingekuwa wakati wa MKAPA hii JF ingesha fungwa siku nyingi.
Mtaishia kuifunga ze utamu tu, JF kiboko.
 
Swali: yule muhindi alietoa pesa za kampeni chadema alimpakata nani? Milioni mia haziwezi toka kiulani tu, lazima kuna kitu kapewa.[/QUOTE]

Akipewa CDM; Kapakatwa!! Je na CCMagamba walipopewa walipakatwa?
 
All these are characteristics of banana republic ambazo zinaendeshwa kama private companies!

God have mercy on your people.

Masanja
 
  • Thanks
Reactions: LAT
I believe there is some element of truth in this saga. Haiingii akilini Balozi mzima kumtuhumu rais kwa kitu ambacho hajafanya.
 
Barua ya jamaa hawa ingelikuwa na punje ya uzito iwapo ingeliitangulia ile ya Bw. Salva kwa siku kadhaa!! The horse has already bolted...
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Tunaenda wapi? mnakumbuka niliwahi kuweka stori hapa 2006 kuhusu walioshiriki kampeni za JK?
 
Huyo aliyeandika barua ya kukana ni nani? mbona jina lake halimo katika taarifa zilizo-leak? na je wanataka tuamini kwamba kama ingekuwa kweli wangesema ndio ni kweli!

Kila mtu atatumia akili yake na kujuwa ukweli ni upi, hapa wanajaribu kuongea tu kama kasuku bila lolote zaidi za vumbi. Hakuna mtu anaweza kukalia maneno matupu bila ushahidi wowote, Kama wanataka tuamini kuwa wao ndio wakweli na US wanasema uongo naona wampereke mahakamani Barozi wa US ili tu-judge na kuchambua kila aina ya ushahidi utakao tolewa mahakamani.

Kama hayo maneno yangekuwa yamesemwa na Mtanzania ungesikia wanadai Bilioni tano kwa kuchafuliwa jina mahakamani, ila kwasababu ni taarifa za kiitelijensia za US wanaishia kukana na kusema huo uongo mkubwa sana basi inatosha kukana! Sioni tofati ya kukana kwa maneno kama mwizi anavyoweza kujitete siku zote na kukaa kimia na kuina kwa aibu.
 
Unajua tatizo la wana CDM mnaona ni sifa kumtukana raisi wa hii nchi lakini akitukanwa mtume wenu basi inakuwa tabu. wewe UWEZO TUNAO umesoma post zingine na umeona maneno yanayo semwa na wenzako juu ya Rais wa Tanzania? Ingekuwa wakati wa MKAPA hii JF ingesha fungwa siku nyingi.

Hiyo ndio ingethibisha kuwa hakununuliwa suti!

Akili ni nywele kila mtu ana zake.
 
ni watu wenye akili za kibangi bangi ndio wanaofanya hii habari kuwa dili, yani hii stori ya suti ndio mnaoitumia kutafuta umaarufu. kweli mlishafilisika ki mawazo.

Swali: yule muhindi alietoa pesa za kampeni chadema alimpakata nani? Milioni mia haziwezi toka kiulani tu, lazima kuna kitu kapewa.

Kama usingekuwa kilaza ungeweza kuelewa kwamba hao wanaomvisha mkulu suit ndo hao hao waliouziwa mahakama kuu ya JMT
 
Na kama unapata hasara hivyo kama unavyojitetea kwa nini unaomba vibali vya kujenga mahoteli mengine? ni kutokana na moyo wako wa huruma kwa Tanzania au?

Unanchekesha! unaonesha hujui biashara na investments, hasara itaendelea maisha? si msingi walioweka lazima uoneshe hasra mpaka utaporudi? au ulifikiri wamewekeza shillingi kumi pale?
 
Jamani mimi hata sielewi case hii vizuri.. Huyu Lisa anaposema haelewi hata neno moja la kiswahili ana maana gani?.. kwa sababu nachoelewa mimi inasemekana yeye aliongea na balozi wa Marekani, sasa hapa kiswahili kinahitajika vipi?
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom