Mh. Waziri Mkuu Pinda asomewa LIVE TAMKO la Shura ya Maimamu Mkoa wa Mtwara

Hongeren sana mulioandaa Tamko ili limeandaliwa kisomi! mwanzon niliona wanamtwara hawana hoja ya msing sasa Mantiki ipo
 
Hawa jamaa wana point.

Tunapopigania kila kitu kiwe Dar tunasahau miundo mbinu ya Dar ni mbovu! Barabara hazitoshi na msongamano mkubwa!

Tufue umeme Mtwara, tufanye mtwara uwe mji wa viwanda kama Unigereza walivyofanya Manchester jiji la uwekezaji.

Serikali iwe ina mikakati ya muda mrefu sio ya kukurupuka!
Mikakati ya wanasiasa huwa inaishia miaka 5 ikiisha wanaomba mingine wamalizie mikakati yao.....heri tuwachague kusimamia mikakati ya kitaifa kuliko hizo sera zao za kisiasa zisizotekelezeka.....
 
Sakata la Mtwara linatufundisha, Viongozi wanapaswa kufanya yale ambayo wananchi wanayataka na si nini viongozi wanataka.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Tamko limejaa hoja za nguvu,

yeyote mwenye kuitakia heri nchi yetu atakiri hivyo.

Tamko limejaa hoja sio malalamiko,

ni kauli yenye akili tunayohitaji kuendeleza nchi yetu.

Kila mmoja wetu angekuwa anajenga hoja kiasi hiki badala ya kulalama tu naamini tungeepusha vita.
 
KAZI IPO WALLAH!! NIMEWAPENDA MNOOOO WATU WA KUSINI KWA MSIMAMO WALIOUONYESHA, HOW I WISH 2015 TUWE HIVI, KAtIKA KUING'OA CCM MADARAKANI! MUNGU WETU ATUONGOZE VEMA, amen!
 
Ni kweli lakini tatizo ni kwamba hakuna ajuaye urais uliuzwa kwa shilingi ngapi kwa masharti yapi? Tuendelee kusubiri, muda utaamua.......
Kuzuia matatizo kama haya, serikali itabidi ibadilishe utaratibu, na iwe washirikisha wananchi katika maamuzi ya miradi yake yote.
Ushirikishwaji huu utaondoa mizozo hii kwa kiasi kikubwa.
 
Honestly, there is an issue behind Mtwara saga. We think we know the problem and we have solution but I guess we have not read between the line what is behind the move. Pinda to me is the worst PM this country had has, the guy can't think independently and when he think no one listen since he is just a rubber stamp. May God be with us.
 
Kwa keli wana Mtwara wanazo hoja za msingi kabisa ambapo serikali haipaswi kuzipuuzia. Wana Mtwara wasikilizwe na serikali iache misimamo isiyokuwa na masilahi kwa taifa hili. Serikali ni mali ya wananchi, kutowasikiliza wananchi ni kuvunja katiba haikubaliki hata kidogo. Heko wana Mtwara
 
Nimelipenda tamko la Shura ya Maimamu. Limesheheni Hoja za msingi ambazo Serikali inapaswa kuzizingatia kwa Manufaa ya Taifa letu.
Mungu Ibariki Tanzania.
 
una matatizo ya akili wewe

nimepinga kuwenda na udini sijapinga shura wala sura

learn kujua watu wa humu JF wakoje na wana misimamo gani sio unakurupuka kwa kusoma post moja basi ukadhani unaelewa watu humu

I dont think it is appropriate kuingiza dini iwe yoyote ile kwasababu nchi ina sheria na taratibu zinazosimamia kanuni, kukimbilia kwa maaskofu, mashekhe nk kunaonyesha udhaifu mkubwa wa dola na serikali kwa ujumla kwenye either kuitafsiri katiba na miongozo iliyopo, au basi mfumo wetu ni isufficient ndio maana tunakimbilia kwenye dini

a good and strong government inafuata misingi iliyoandikwa sio kukimbia negotiation kila wakati

niambie (sijui una umri gani) ni wakati gani tanzania imekua na matamko ya viongozi wa (dini zote) kiasi hiki cha huyu Jamaa Kikwete???

there is a weakness and Pinda is just burring KJ alive because of his weaknesses and lack of stangth kwenye chochote kile zaidi ya kulia na kushangaa
umeshasomeka. ni udini tu unakusumbua. some one told you, i'm doin the same. do not waste our gifted time.
 
Content ya kwenye tamko lipo mwake.

Ila naomba haw ndugu zetu wajifunze jinsi ya kuandika speech.
tatizo la kuangalia mada kwa makengeza ndo hili, wajifunze nini sasa? wewe ulitaka wamung'unye maneno? we vipi bana. upo tofauti na wachangia mada wote. kweli kwenye msafara wa waumini na mtenda zambi si ajabu yupo.
 
naomba niulize ukweli kuhusu railway ya Mtwara, je ni serikali ya kikoloni au ya uhuru iliyong'oa reli ile? naomba kujua ukweli kwenye hili...
Iling'olewa na serikali dhalimu ya ccm(tanu). afadhali hata ya mkoloni aliona umuhimu wa hiyo reli. mkuu yaelekea wewe umezaliwa siku za karibuni, na kwa bahati mbaya hawajaiweka hii ishu kwenye mitaala ya somo la historia. wanaona aibu, mungu awalipe kwa dhamira yao ovu juu ya watu waliokuwa wakiwaongoza, sorry I mean wakiwatawala.
 
hii shura ya maimamu siku hizi huwa haimkopeshagi kiongozi yeyote. nakumbuka hata kwenye baraza la iddi lililofanyikia dom mwaka fulani walimpa jk live bila chenga japokuwa na yeye ali-revenge. sasa tunasubiri na hili alirevenge kama alivyofanya kule dom. yeye si mjanja. sasa tuone uchikibobu wake.
 
Iling'olewa na serikali dhalimu ya ccm(tanu). afadhali hata ya mkoloni aliona umuhimu wa hiyo reli. mkuu yaelekea wewe umezaliwa siku za karibuni, na kwa bahati mbaya hawajaiweka hii ishu kwenye mitaala ya somo la historia. wanaona aibu, mungu awalipe kwa dhamira yao ovu juu ya watu waliokuwa wakiwaongoza, sorry I mean wakiwatawala.
kuna kitu kinaitwa economies of scale imagine in 1961 Tanganyika Government running three ports! for which exports at the time to necessitate three ports running if operation costs were not too high to not sustain their co-existence! try to think of that and put ur emotions aside...
 
Back
Top Bottom