Recent content by Nandorobo

  1. Nandorobo

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani ku download kitabu kinachouzwa mtandaoni lakini mi niki download kwa free

    Boss naomba itume tena hii link tuendelee kusoma vitabu tuongeze ujuzi
  2. Nandorobo

    JamiiForums Tanzania Hii ndio namna inayoweza kukupatia pesa kwenye mitandao

    Kwahiyo mtu akinunua kitabu na kukisoma anaweza kuanza kupiga kazi online? Paypal account inapatikana vp wakati Tz haipo.
  3. Nandorobo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tip Master bingwa kupotea wapi code zake zilikuwa ni uhakika sana
  4. Nandorobo

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba (KE) Njombe

    Tembelea Sangamela huwezi kukosa hapo
  5. Nandorobo

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kusimamia mradi wa ufugaji

    Mlandizi_Pwani.
  6. Nandorobo

    JamiiForums Tanzania Kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa. Najuta

    Kunawa mkojo ni kila siku?[emoji3][emoji3][emoji3]
  7. Nandorobo

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha biashara ya mchele Zanzibar

    Lazima uwe na Export Permit Zanzibar ni nchi nyingine[emoji23][emoji23][emoji23]
  8. Nandorobo

    JamiiForums Tanzania Naomba Connection ya Kibarua

    Unaweza kung'oa visiki?
  9. Nandorobo

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi hutafuta msaada wa kushikwa mkono lakini ikitokea wameshikwa huzichezea bahati na kufanya madudu

    Si mbaya ukitoa hiyo michongo kwa vijana wengine pia
  10. Nandorobo

    JamiiForums Tanzania Drip irrigation

    Ni vema tufike shambani tuone then upate bajeti nzima kulingana na mahitaji yako,lakini kwa makadirio ukiwa na pampu gharama za mfumo wa umwagiliaji wa matone inakuwa chini ya milioni na nusu kwa project yako.
  11. Nandorobo

    JamiiForums Tanzania Ufahamu umwagiliaji wa matone (drip irrigation system)

    kina kirefu njoo upate moja mbili apa,kuna madini safi kabisa.
  12. Nandorobo

    JamiiForums Tanzania Vijana tutumie hela kwa nidhamu, maisha ni magumu

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  13. Nandorobo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kusaidiwa kuhusu Paypal services

    Kuna mdau yupo Arusha anafanya blogging anatusaidia sana kupokea malipo ya paypal
  14. Nandorobo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kusaidiwa kuhusu Paypal services (online money deposite and withdraw)

    Option ya pili km una mtu yupo Either UK anaweza kukutolea then akakutumia via worldremit ukapokea kupitia mobile transaction km M-pesa,tigopesa n.k
  15. Nandorobo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kusaidiwa kuhusu Paypal services (online money deposite and withdraw)

    Kuna mdau yupo Arusha anafanya blogging anafanya kazi ya kupokea malipo ya paypal km account yako haina access ya withdraw kwa Tanzania. Njoo PM nikuunganishe nae
Back
Top Bottom