Msaada: Naomba kusaidiwa kuhusu Paypal services

Lungutz1

Member
Jun 23, 2023
33
67
Kuna fedha natakiwa kui withdraw kwenye moja ya site za malipo online, ambapo option yake kuu ya ku withdraw ni kupitia Paypal account.

Imekuwa ni kikwazo kikubwa kwangu, maana nimejaribu kutengeneza hiyo account ila account bado haikufanikiwa kukidhi vigezo vya kutumika na kupokea malipo, naambiwa inatakiwa iunganishwe na bank details na hapo ndipo nilipokwama. Maana nimejaribu kuilink na banks details ila taarifa hazifungamani na zinakataliwa.

So, nikachukua hatua ya kuomba msaada online kwa wadau kadhaa wajuaji ambao baadae niliwashtukia kuwa huenda ni matapeli, maana walianza kuomba fedha ili wanitengenezee hiyo account na kutakiwa kuwalipa kabla ya kazi, nikashtuka. Kwanini niwalipe kabla ya kazi? Kwa kumbukumbu zangu nilishawahi kushuhudia mtu flani akitapeliwa kwa mfumo huo huo.

Kwa mwenye nia njema ya kunisaidia naomba anisaidie tuzipate hizo hela na nimpe asilimia 30 ya fedha hiyo nitakayo itoa huko paypal ila kulipa kabla sijahudumiwa ni mtego na siwezi.

Kama upo Dar es Salaam na ni mtaalamu wa mambo haya ya fedha za mtandaoni hasa kuhusiana na malipo kwa kutumia paypal account, njoo PM tuangalie namna ya kufanya.

Pia kama upo Dar es Salaam, tunaweza kuonana ili tuifanye kazi hii tukiwa wote tukifanikiwa tunagawana mzigo kama nilivyobainisha hapo juu, tofauti na hapo basi bora hizo pesa zipotelee huko huko.

Mambo ni magumu, uchumi unasumbua watu wengi na utapeli pia unashamiri kila kukicha... ndiyo maana tunapofanya haya inabidi tuchukue tahadhali kubwa.

Ahsanteni na karibuni kwa ushauri juu ya hilo!
 
Umegusia mambo matatu
1. Kufanya malipo
2. Kupokea malipo
3. Kutengeneza account ya paypal na iwe tayari kwa matumizi

Je niko sahihi?? | Sabbu maelezo ni mengi uliyotoa ila sio specific nini hasa unataka kifanyike.
 
Kuna fedha natakiwa kui withdraw kwenye moja ya site za malipo online, ambapo option yake kuu ya ku withdraw ni kupitia Paypal account.

Imekuwa ni kikwazo kikubwa kwangu, maana nimejaribu kutengeneza hiyo account ila account bado haikufanikiwa kukidhi vigezo vya kutumika na kupokea malipo, naambiwa inatakiwa iunganishwe na bank details na hapo ndipo nilipokwama. Maana nimejaribu kuilink na banks details ila taarifa hazifungamani na zinakataliwa.

So, nikachukua hatua ya kuomba msaada online kwa wadau kadhaa wajuaji ambao baadae niliwashtukia kuwa huenda ni matapeli, maana walianza kuomba fedha ili wanitengenezee hiyo account na kutakiwa kuwalipa kabla ya kazi, nikashtuka. Kwanini niwalipe kabla ya kazi? Kwa kumbukumbu zangu nilishawahi kushuhudia mtu flani akitapeliwa kwa mfumo huo huo.

Kwa mwenye nia njema ya kunisaidia naomba anisaidie tuzipate hizo hela na nimpe asilimia 30 ya fedha hiyo nitakayo itoa huko paypal ila kulipa kabla sijahudumiwa ni mtego na siwezi.

Kama upo Dar es Salaam na ni mtaalamu wa mambo haya ya fedha za mtandaoni hasa kuhusiana na malipo kwa kutumia paypal account, njoo PM tuangalie namna ya kufanya.

Pia kama upo Dar es Salaam, tunaweza kuonana ili tuifanye kazi hii tukiwa wote tukifanikiwa tunagawana mzigo kama nilivyobainisha hapo juu, tofauti na hapo basi bora hizo pesa zipotelee huko huko.

Mambo ni magumu, uchumi unasumbua watu wengi na utapeli pia unashamiri kila kukicha... ndiyo maana tunapofanya haya inabidi tuchukue tahadhali kubwa.

Ahsanteni na karibuni kwa ushauri juu ya hilo!
Tanzania paypal ni kwa ajili ya malipo tu. Huwezi kupokelea fedha.

Unataka kuwezeshwa kupokea fedha, basi unapaswa kutengeneza akaunti kwa kutumia namba za Kenya. Utamaliza process ukiwa huko kisha utakuwa na uwezo wa kuitoa fedha yako.
 
Kumbe kibongobongo haiwezekani? ndo maana nimeshangaa kushindwa katika hilo, basi nitafanya mawasiliano na jamaa mmoja hivi yupo Kenya
 
Kuwa makini. Majina yanapaswa kufanana kabisa na yale uliyoyaandikisha. Kwa sababu watataka kufanya verification. Pili, usifoji location, watakublock.

Paypal wanablock sana akaunti zenye hela. Ikionekana tu kuna udanganyifu wanaisuspend .
 
Kuwa muwazi.. umfanya kazi gani, au umetoa huduma gani hadi ukapata hizo fedha?, na kwanini wao wanataka uwape fedha?
 
Kuna fedha natakiwa kui withdraw kwenye moja ya site za malipo online, ambapo option yake kuu ya ku withdraw ni kupitia Paypal account.

Imekuwa ni kikwazo kikubwa kwangu, maana nimejaribu kutengeneza hiyo account ila account bado haikufanikiwa kukidhi vigezo vya kutumika na kupokea malipo, naambiwa inatakiwa iunganishwe na bank details na hapo ndipo nilipokwama. Maana nimejaribu kuilink na banks details ila taarifa hazifungamani na zinakataliwa.

So, nikachukua hatua ya kuomba msaada online kwa wadau kadhaa wajuaji ambao baadae niliwashtukia kuwa huenda ni matapeli, maana walianza kuomba fedha ili wanitengenezee hiyo account na kutakiwa kuwalipa kabla ya kazi, nikashtuka. Kwanini niwalipe kabla ya kazi? Kwa kumbukumbu zangu nilishawahi kushuhudia mtu flani akitapeliwa kwa mfumo huo huo.

Kwa mwenye nia njema ya kunisaidia naomba anisaidie tuzipate hizo hela na nimpe asilimia 30 ya fedha hiyo nitakayo itoa huko paypal ila kulipa kabla sijahudumiwa ni mtego na siwezi.

Kama upo Dar es Salaam na ni mtaalamu wa mambo haya ya fedha za mtandaoni hasa kuhusiana na malipo kwa kutumia paypal account, njoo PM tuangalie namna ya kufanya.

Pia kama upo Dar es Salaam, tunaweza kuonana ili tuifanye kazi hii tukiwa wote tukifanikiwa tunagawana mzigo kama nilivyobainisha hapo juu, tofauti na hapo basi bora hizo pesa zipotelee huko huko.

Mambo ni magumu, uchumi unasumbua watu wengi na utapeli pia unashamiri kila kukicha... ndiyo maana tunapofanya haya inabidi tuchukue tahadhali kubwa.

Ahsanteni na karibuni kwa ushauri juu ya hilo!
Nunua line ya safaricom wakupe na kitambulisho kilichotumika kuisajili, fungua akaunti ya paypal as if uko kenya. Then wakikutumia pesa i withdraw via thunes kupítia hiyo line.
Fungua akaunti ya paypal kwa jina lolote as long as umeifungua kwa kuweka nchi inayopolea pesa, note that uwe tayari na vutambulisho na proof for address in case watataka ufanye hivyo. Kisha fungua akaunti ya wise na uombe dollar akaunti. Then iunge na paypal hiyo dollar akaunti so ela utakuwa unaiwithdraw from paypal to that dollar akaunti then wajitumia kwa your local bank account
 
Back
Top Bottom