Msaada: Naomba kusaidiwa kuhusu Paypal services (online money deposite and withdraw)

Lungutz1

Member
Jun 23, 2023
33
67
Kuna fedha natakiwa kui withdraw kwenye moja ya site za malipo online, ambapo option yake kuu ya ku withdraw ni kupitia Paypal account.

Imekuwa ni kikwazo kikubwa kwangu, maana nimejaribu kutengeneza hiyo account ila account bado haikufanikiwa kukidhi vigezo vya kutumika na kupokea malipo, naambiwa inatakiwa iunganishwe na bank details na hapo ndipo nilipokwama. Maana nimejaribu kuilink na banks details ila taarifa hazifungamani na zinakataliwa.

So, nikachukua hatua ya kuomba msaada online kwa wadau kadhaa wajuaji ambao baadae niliwashtukia kuwa huenda ni matapeli, maana walianza kuomba fedha ili wanitengenezee hiyo account na kutakiwa kuwalipa kabla ya kazi, nikashtuka. Kwanini niwalipe kabla ya kazi? Kwa kumbukumbu zangu nilishawahi kushuhudia mtu flani akitapeliwa kwa mfumo huo huo.

Kwa mwenye nia njema ya kunisaidia naomba anisaidie tuzipate hizo hela na nimpe asilimia 30 ya fedha hiyo nitakayo itoa huko paypal ila kulipa kabla sijahudumiwa ni mtego na siwezi.

Kama upo Dar es Salaam na ni mtaalamu wa mambo haya ya fedha za mtandaoni hasa kuhusiana na malipo kwa kutumia paypal account, njoo PM tuangalie namna ya kufanya.

Pia kama upo Dar es Salaam, tunaweza kuonana ili tuifanye kazi hii tukiwa wote tukifanikiwa tunagawana mzigo kama nilivyobainisha hapo juu, tofauti na hapo basi bora hizo pesa zipotelee huko huko.

Mambo ni magumu, uchumi unasumbua watu wengi na utapeli pia unashamiri kila kukicha... ndiyo maana tunapofanya haya inabidi tuchukue tahadhali kubwa.

Ahsanteni na karibuni kwa ushauri juu ya hilo!
 
Tanzania sidhani kama unaweza pata hiyo service usije ibiwa

Wapo watu wanatengeneza through line za kenya safaricom hapo ndo unaweza kufaniwa

Au kaam una mtu yuko nchi ambayo anaweza ku withdraw kwene paypal mpe akutolee then akutumie
 
Kuna mdau yupo Arusha anafanya blogging anafanya kazi ya kupokea malipo ya paypal km account yako haina access ya withdraw kwa Tanzania. Njoo PM nikuunganishe nae
 
Option ya pili km una mtu yupo Either UK anaweza kukutolea then akakutumia via worldremit ukapokea kupitia mobile transaction km M-pesa,tigopesa n.k
 
Haiwezekani kwa hapa bongo.

Kama uko tyr twende zetu kenya tukaitoe hiyo hela,kama ni nyingi sana.

Kama ni za kawaida tafuta mtu ulaya au marekani umtumie then yy akutumie kwa transcation inayokubalika huku.worldremit,western union,money gram au hata bank to bank transfer
Nichek whatsapp 0683286830
 
Kuna fedha natakiwa kui withdraw kwenye moja ya site za malipo online, ambapo option yake kuu ya ku withdraw ni kupitia Paypal account.

Imekuwa ni kikwazo kikubwa kwangu, maana nimejaribu kutengeneza hiyo account ila account bado haikufanikiwa kukidhi vigezo vya kutumika na kupokea malipo, naambiwa inatakiwa iunganishwe na bank details na hapo ndipo nilipokwama. Maana nimejaribu kuilink na banks details ila taarifa hazifungamani na zinakataliwa.

So, nikachukua hatua ya kuomba msaada online kwa wadau kadhaa wajuaji ambao baadae niliwashtukia kuwa huenda ni matapeli, maana walianza kuomba fedha ili wanitengenezee hiyo account na kutakiwa kuwalipa kabla ya kazi, nikashtuka. Kwanini niwalipe kabla ya kazi? Kwa kumbukumbu zangu nilishawahi kushuhudia mtu flani akitapeliwa kwa mfumo huo huo.

Kwa mwenye nia njema ya kunisaidia naomba anisaidie tuzipate hizo hela na nimpe asilimia 30 ya fedha hiyo nitakayo itoa huko paypal ila kulipa kabla sijahudumiwa ni mtego na siwezi.

Kama upo Dar es Salaam na ni mtaalamu wa mambo haya ya fedha za mtandaoni hasa kuhusiana na malipo kwa kutumia paypal account, njoo PM tuangalie namna ya kufanya.

Pia kama upo Dar es Salaam, tunaweza kuonana ili tuifanye kazi hii tukiwa wote tukifanikiwa tunagawana mzigo kama nilivyobainisha hapo juu, tofauti na hapo basi bora hizo pesa zipotelee huko huko.

Mambo ni magumu, uchumi unasumbua watu wengi na utapeli pia unashamiri kila kukicha... ndiyo maana tunapofanya haya inabidi tuchukue tahadhali kubwa.

Ahsanteni na karibuni kwa ushauri juu ya hilo!
Sikia, fungua akaunti wise omba dollar akaunti then iweke kama withdraw method paypal au fungua akaunti payoneer, omba akaunti ya follar ya federal community bank then iweke iweke payapal. The other option ni kumwomba mtu ambaye ana payoneer akupe akauntu ya dillar uweke ila pesa ataipokea yeye sasa inatakiwa muwe mwafahamuana asije kukupha
 
Back
Top Bottom