Recent content by namwandele9

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kabila la kwanza hadi la mwisho nchini kwa ubora wa kiasili wa uzalishaji vyakula vyenye lishe nchini:

    Mbeya kabila linalolima vyakula ni Wasafya na si Wanyakyusa wao walifanikiwa kusoma nashangaa hawapo hapo kabisa
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kitilya, wenzake waendelea kusota rumande

    Mungu yu mwema kuna siku watatoka..... dhambi mbaya sana tena ya kukusudia
  3. N

    JamiiForums Tanzania Spika tusaidie kujua CCM ilifanya vikao lini kumfukuza Nyalandu

    Hiyo ni kazi ya propaganda ulitaka wafanye kazi h gani
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ubunge jimbo la Arusha mjini wagombaniwa kama mpira wa kona

    Zilipendwa, zilipendwa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. N

    JamiiForums Tanzania KESI YA MANJI: “Moyo wa Manji umewekwa vyuma kumsaidia kupumua

    Muogopeni mungu jamani, Manji anahitaji kusemehewa kama mnaona amewakosea Sent using Jamii Forums mobile app
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mke ,mume kuweka password kwenye simu ni dalili tosha kwamba mnaiba huko nje

    This is for security purposes only but behavior is there. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dangote kusimamisha kazi zake Tanzania

    Hata hivyo Industry ya Ujenzi imesimama sana. Ata uzaje sasa??? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. N

    JamiiForums Tanzania Namaliza chuo London University Vipi TANZANIA kuna ajira nije?

    Master au degree?? Kama degree endelea kusoma ajira hakuna.... Bado tunapambana na makinikia... Hata biashara nako hakuko vizuri. Tumia muda huu kusoma uje na PhD unaweza teuliwa
  9. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wapo upande wa Rais Magufuli katika hili la Mchanga

    Mm nitamuunga mkono mpaka avunje mkataba na wahusika wote wakamatwe otherwise itakuwa siasa.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Je unafananisha na nini kumpata mzalendo ndani ya ccm?

    Kwenye report hawapo
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ninajamba sana ifikapo asubuhi

    Ale nn papai
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ili Nape aendelee kuilinda heshima yake, ahame CCM.

    Hapana bado mapema Sana atakuwa hajatumia busara.. Mm namshauri anyamaze ni jambo la muda tu.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Wahariri wampiga BAN Mkuu wa Mkoa wa Dar kwenye Media zote nchini

    Watatunyima ubwawa hawa... Vyeti kwanza
  14. N

    JamiiForums Tanzania I want to buy a car!!

    Hela hiyo nyingi sana utapata tena dar watu wanauza magari . .types of car depend on your work
  15. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa kwa sababu za kitaalam; Ipi nyumba bora kati ya tofali za kuchoma na cement?

    Umeeleza vizuri sana na huo ndio ukweli
Back
Top Bottom