I want to buy a car!!

bic2kn

Member
Feb 18, 2017
76
22
Hellow friends! Im a young boy, i want to buy a car so that to simplify the work,unfortun,i dont know which is the best one for 14 m.

Thamk you
 
Hela hiyo nyingi sana utapata tena dar watu wanauza magari . .types of car depend on your work
 
  • Utakua utaitumia mara ngapi kwa week? - Kama zaidi ya mara 6 out of 7 days, chukua yenye cc chini ya 1500.
  • Kwa siku utakua unatembea/misele ya kilometre ngapi? - Kama zaidi ya 50 chukua yenye cc chini ya 1500 ili atleast utumie mafuta ya buku 10 tu per day.
  • Umejipangaje kwenye issue ya maintenance na service? - Kama uchumi sio uhakika sana, nashauri ungechukua Toyota kwasababu spareparts zake zipo nyingi, zinaingiliana na cheap sana.
  • Unapendelea shape gani? Sedan na Hatchback ndio shape zilizopo kwa generation yenu.

Kwa hapo juu mi naona una option hizi:
  • Toyota IST
  • RunX/Allex
  • Voltz (Ila cc1790)
  • Altezza, IS200, RS200 (ila cc2000)
 
Asnate sana kwa ufafanuzi wako nimefurahi sana
 
Hellow friends! Im a young boy, i want to buy a car so that to simplify the work,unfortun,i dont know which is the best one for 14 m.

Thamk you
did you get the car i hv toyota ist no.D good condition
millage 57200km
road lisence valid
insurance comprehensive
new tyre
sms/watsap 0715140001
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom