Kama tuhuma zinatosha kumweka mtu jela bila ushaidi basi hakuna maana ya sheria na mahakama. Unafiki ni huu wa kusema mtu ameiba bila kuthibitisha wizi wake.kwani hawa watu hawakuiba hela yetu mbona tunakuwa wanafiki hivyo acha na wao waonje joto ya jiwe
haa haa mkuu sheria hizi za kidhalim nikuambie tu kushinda kesi mahakamani aimaanishi eti wew huna hatia .zombe alishinda kesi je kwa akili yako hakushiriki kufanya mauaji ya wale wanasheria, huo ukoo wa sinare sio salama kwa afya ya nchi yetu angalia dowans rex attoney walishiriki kwa asilimia 100 kuhakikisha hela ya akina edo na rostam inapatikanaKama tuhuma zinatosha kumweka mtu jela bila ushaidi basi hakuna maana ya sheria na mahakama. Unafiki ni huu wa kusema mtu ameiba bila kuthibitisha wizi wake.
haa haa mkuu sheria hizi za kidhalim nikuambie tu kushinda kesi mahakamani aimaanishi eti wew huna hatia .zombe alishinda kesi je kwa akili yako hakushiriki kufanya mauaji ya wale wanasheria, huo ukoo wa sinare sio salama kwa afya ya nchi yetu angalia dowans rex attoney walishiriki kwa asilimia 100 kuhakikisha hela ya akina edo na rostam inapatikana
Kivipi?Kukaa rumande ni kwa usalama wao mkuu
NDio afrika mkuuHivi visasi kuna siku isiyokuwa na jina vitalipika. Eti awamu ya pili kutoka uingereza! Kama kweli waingereza wako slow hivyo kwenye upelelezi basi sio uingereza ninayo jua. Ikanikumbusha uchaguzi wa Kenya kuwa wenye server huko ufaransa bado kwao ni usiku hivyo bado hawajaamka. Kamwe vituko havitaisha Africa.
Kamishna ndio alikufukuza,fafanua tukueleweWacha aendelee kusota, malipo ya ubaya ni hapa hapa alinifukuza tra kwa sababu sikuwa mchaga ili aajili wachaga wenzake
Wameiba bhana, na ndo walizokuwa wanampa yulee bwana agawe makanisaniKama tuhuma zinatosha kumweka mtu jela bila ushaidi basi hakuna maana ya sheria na mahakama. Unafiki ni huu wa kusema mtu ameiba bila kuthibitisha wizi wake.
Na wezi wakubwa wakubwa ni wajanja sana kwenye kukwepa commitment ili wasishikwe. Rostam aliandikisha majina ya mafala flani, ila pesa anavuta yeyeMkuu mimi sio mpiga ramli. Hizo sheria unazoziita za kidhalim ndio zilizotumika kuwaweka jela kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu sasa. Sijasema kwamba wameiba au la, ila ni lazima tuwe na nchi inayoongozwa na utawala wa sheria. Kila mtu ana haki ya kuhesabiwa kutokuwa na hatia mpaka itakapothibitishwa kuwa na hatia. Kuweka watu jela kwa muda mrefu kwa tuhuma zisizoweza kuthibitishwa ni kujenga mazingira ya uonevu.
Any country or Government which wants to proceed towards tyranny starts to undermine legal rights and rule of law.
Ukanda wa wezi, si aliwapanga hapo TRA ?!Pamoja na msapotu magu na nia yake ya kunyoosha nchi lakin sio kwenye uonevu kaa huu wa kikanda. Huu ni ungese!
Akili ya panya lumumba, kitilya ni mnyirambaKitilya ni mkabila alijaza sana wachagga TRA
Are you serious? Namuonea huruma sana Shoselakini wamenenepa
Kama mwizi namba moja halafu hakuna kuwajibika unafikiri itakuwaje?Uhujumu uchumi dhamana hakuna lakini tuangalie upya huyu alikuwa kamishna wa mamlaka t.r.a angetaka kuwa mwizi nafikiri ndo angekuwa mwizi nomber moja hawa walioko madarakani kuna kitu tunawafundisha tuwe makini tunapoweka watu ndani uadilifu utatoweka mzee mkapa na kikwete walimwamini sana huyu mzee kitilya nasema ukifikia kustaafu na ulikuwa mwadilifu ukikaa mtaani utajua vitu na utajuta ukisema ningejua mstaafu anakula mafao gerezani upelelezi ukamilike mzee muadilifu atoke ni maoni yangu hayo
Behind the curtains there are unseen spiritsKwani hawadhaminiki?
Makosa yao hayana dhamana?
Uhujumu uchumi dhamana hakuna lakini tuangalie upya huyu alikuwa kamishna wa mamlaka t.r.a angetaka kuwa mwizi nafikiri ndo angekuwa mwizi nomber moja hawa walioko madarakani kuna kitu tunawafundisha tuwe makini tunapoweka watu ndani uadilifu utatoweka mzee mkapa na kikwete walimwamini sana huyu mzee kitilya nasema ukifikia kustaafu na ulikuwa mwadilifu ukikaa mtaani utajua vitu na utajuta ukisema ningejua mstaafu anakula mafao gerezani upelelezi ukamilike mzee muadilifu atoke ni maoni yangu hayo