Recent content by namraroh

  1. namraroh

    Nimesikiliza mahojiano ya Prof. Assad na Kikeke, huyu Prof. ana ujuaji mwingi. Unafukuzaje mfanyakazi akikataa kufanya majukumu ambayo sio yake?

    Nimeelewa kwanini mnajazana kwa kina Kiboko ya wachawi? hapa unaonyesha jinsi ya elimu yako na uwezo wako wa kufikiri ulipogomea! Hongera kwa andiko
  2. namraroh

    KERO Mnaotoa Vyeti vya Serikali mnakwaza kukosea Herufi za Majina ya Watumiaji wa Nyaraka hovyo

    Sio lazima Joseph Elikunda kuwa mwanaume! Jamani watanzania tuwe makini kidogo!
  3. namraroh

    Wasichana wa kiislamu wamekamatwa wakiwa wamefungiwa kwenye nyumba Dodoma, inayosadikika kupewa elimu ya dini

    Kumbe unamfahamu Abunuwas, Inasikitisha sana kwa kizazi cha leo cha vijana wa kitanzania, kwa kweli wanasafari ndefu, wakati wenzao wanapambana katika elimu na maarifa, kizazi chetu kimebaki kupambana katika kubet, na ujuaji wa kwenye mitando ya kijamii pasipo kutafuta uhakika wa taarifa na...
  4. namraroh

    PreGE2025 Mussa Zungu: Rasmi sasa tumeanza Ajenda ya Samia 2025

    Tutapiga kura na tutashinda kwa kishindo endelea kujidanganya
  5. namraroh

    Fursa za ajira Uarabuni, Saudi Arabia sekita ya afya.

    Wapi katika dunia hii mtu mweusi ana thaminika kama sio nchi yake ya asili, endelea kujidanganya na kudanganya wajuaji wenzako kwamba mkienda Ulaya mtaheshimiwa na kubembelezwa,
  6. namraroh

    Ikiwa ajira za uarabuni zinalipa, watoto wa viongozi Waoneshe mfano Kwa vitendo

    Ni vyema, ungeanza wewe kutushawishi kulima kwa kuonyesha kwa vitendo umefanikiwa wapi kwa kilimo hicho na unafanya wapi harakati zako za kilimo! watanzania tutaendelea kuwa watazamaji wakati wenzetu wanapiga hatua na kuendeleza nchi zao! Kenya inapeleka wafanyakazi wengi sana katika nchi hizo...
  7. namraroh

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na Hamas

    Lugha ndio kikwazo kaka
  8. namraroh

    Sheria hazilindi Mabwege, Watu dhaifu; na Mamlaka huheshimu Mamlaka

    Yale yale wapi katika " kwenye chritian civilization weak are protected? even hapo mnapopaita Vatican, only the powerful cardinal are only who make decisions on direction that church should follow!
  9. namraroh

    SoC03 Janja janja ya China kupata faida maradufu Yani (super profit)

    Huu uzi unaitaji watu wanojitambua ndio maana huwezi ona unaenda kwa kasi kama zilivyo nyuzi nyingine
  10. namraroh

    Mtaalamu wa mipango na mikakati aonekana Doha kwenye ziara ya Rais Samia

    Mayala ndugu yangu usipate taabu kushindana na wajinga, hata umweleze nn hataki kuelewa kwa sababu tu hataki, anafahamu profile ya Rostam Aziz? au kwa kuwa anaona anatoka Tanzania basi anaona wanalingana! hili ndio tatizo kubwa linalokabili watanzania, halafu ukute huyu ndio wale vijana taifa...
  11. namraroh

    Watu wa Fiji ni ndugu zetu, mila na tamaduni zetu zinafanana

    Ni kweli kabisa kwamba kuna tetezi kama hizi kuhusu hawa watu, kwani hata ngoma zao wanazocheza ni kama ngoma ambazo huchezwa na watu wa Rufiji!
  12. namraroh

    Ni hatari kuruhusu nchi ya Rwanda kumiliki kinu cha Nyuklia

    Tatizo sio ukubwa au udogo wa nchi, tatizo ni uwezo wa kufikiri nakufanyia kazi mawazo yako, hii ndio akili tunayoitaka! Israel ni ndogo sana, lakini umoja wa Waarabu umemshindwa pamoja na wingi wao!
  13. namraroh

    Watu wanaomlaumu Vicky Kamata, wanadhani Magufuli alipomtumbua Dkt Servacius Likwelile alimuacha na hela. Bila kujua alilelewa na Vicky

    Duu haya moisha bana, yaani jamaa pamoja na fedha zake zote alikuwa anaishi kama njiwa, mara Tabata kwa watoto kusalimia, mara Tegeta kulala, sas kuna haja gani yakuwa na fedha kama huna amani na kuishi kwa starehe na watoto wako?
  14. namraroh

    Jingle bells tafsiri yake mnaopenda kuimba bila kufahamu

    Wanakuja kukupinga sasa hivi wafia Uyahudi
  15. namraroh

    Wazungu\Foregners wanatengeneza sana pesa hapa nchini kwa ujinga wetu

    naona hapo ndio uelewa wako unapoishia, endelea kuandika hivyo utafika mbali, ninarudia utabaki kulalamika na kuandika upuuzi huu wakati wenzio wanatengeneza fedha na wanapaa!, JF Expert? or non sense, "matako kufikiri, " akili ina usaha" "wewe mpuuzi" ongeze mengine ndio uwezo wako huu
Back
Top Bottom