Recent content by nakoz

  1. N

    JamiiForums Tanzania Alinunua simu iliyotumika, imemsababishia kufungwa

    Hao sio polisi ni matapeli pia msimbazi center sio kituo
  2. N

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete atapeliwa

    Mambo ya 2008 mnaileta ya nini kama sio mmpewa hela kumchafua MTU na habari yenyewe ilikuwa ya kizushi kubenea unataka hii nchi iweje?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mabasi yanayokimbia sana kwa sasa Tanzania

    Air msae ni metro na Kilimanjaro express yalikuwa yakiitwa sawaya
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wazee Kilimanjaro: Mwigulu ni kama Mrema wa wizara ya mambo ya ndani

    Hata akiwa gaidi so mlisema hii nchi sasa inahitaji RAIA dikteta
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hotel nzuri kwa ajili ya chakula cha pamoja

    Kama uko Lindi,MTWARA au MASASI nenda HIMO restaurant
  6. N

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kuibuka na Kuzama kwa Julius Mtatiro

    Hata akikosa hela ya kula alikuja kuomba kwako.there's time 4everything au unataka akomae na siasa tu amekuwa mrema
  7. N

    JamiiForums Tanzania Neville Meena amehamia rasmi Gazeti la Tanzania Daima na kupewa nafasi ya Mhariri Mtendaji

    Lowasa anahusika VP na MTU kubadilisha kituo cha kazi kupata maslahi zaidi.kama dau la Tanzania daima ni nzuri kwanini usiende.mambo ya ukabila sio fresh.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Salamu kwenu Nakumatt Nyerere road

    Hiyo njia ukiifuata inafika pugu au kwa nyerere
  9. N

    JamiiForums Tanzania Boss wa Wrong Parking ashindwa kuongea Kiingereza

    Kalasinga mmoja alinifurahisha sana moshi alifungwa pale mbele ya NBC roundabout aliwaomba nimeshuka na hela nyingi nipaki mbali ili niporwe wakadinda wanataka fiu,akapiga simu garage likaja gari na cilinder za gas akakata chuma vipande,tulishangilia utadhani giroud kafunga
  10. N

    JamiiForums Tanzania Wachaga ni Noma!

    Umeua jo
  11. N

    JamiiForums Tanzania Wachaga ni Noma!

    Mi naishi njia panda HIMO na sio mchanaga ila jamaa tuwape salute.zinazokata kushoro (machame,KIBOSHO,uru,old moshi)ni noma.Julia(kilema,marangu,mwika,rombo,)ni noma zaidi.big up chanagaz
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ikulu ni kwa kina Diamond na Idris na si Mapacha watatu toka Geita

    Tuweni wakweli wale vijana na benders za chadema wangeruhusiwa kweli
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kuhusu namba mpya za pikipiki,hivi na mikoa mingine ni kama kilimanjaro?

    Hiyo pikipiki ulotolea mfano ni ya chama sasa ya MTU binafsi inakuwaje
  14. N

    JamiiForums Tanzania Dar’s cost of living higher than Nairobi’s

    Mimi ninayesafiri dar/nai kila wakati huwezi nidanganya.
  15. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga's son, Fidel Odinga is Dead

    Tumia akili Jo jiongozi la upinzani litaua masheikh ili iweje,common sense is common in a common man
Back
Top Bottom