Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,101
- Thread starter
- #21
Cm za kununua kwa watu naziogopa sana kuna siku polisi walinikosa sana kumbe aliyekuwa amenunua cm ya wizi alikuwa mshikaji wangu cm ya 20000 ilimgharimu 70000
Duh.. umeona sasa. Halafu sasa hv polisi wamedovelop criminal case kama hzi