Meena ni mchaga wa wapi?
we ni msalani ya wapi, ya stendi kuu au sokoni kariakoo?
Meena ni mchaga wa wapi?
Nimenote like uhapa ni kama vile unalipigia debe gazeti la tanzania daima na unalipaka matope mwananchi. akina meena wameondoka hawakukimbia na wamefuata green pasture. sasa tanzania daima ihakikishe kuwa donge nono linadumu au sivyo na wao watakimbiwa pia.
TanzaniaDaima=Mbowe= Chadema= Chaga = Meena
Meena ni mchaga wa wapi?
mawazo mgando eti 1+1 = 11TanzaniaDaima=Mbowe= Chadema= Chaga = Meena
TanzaniaDaima=Mbowe= Chadema= Chaga = Meena
ficha u.p.u.m.b.a.v.u wako mkuu.
Mawazo ya ukabila ya kijinga kabisa haya. Kwa jinsi hiyo utajikuta unaishia na fomula hiyohiyo mpaka kwenye dini, jinsia rangi nk. Ukimaliza hapo utahamia kwa wake zao. Hayo ni mawazo ya kwenda mbele hatua moja na kurudi nyuma hatua 3 Mtu mwenye kuchambua mambo kwa mtindo wako ni wa kuepukwa kama ukoma! Watu wanaangalia uwezo na utendaji wewe unaturudisha kwenye ukabila. Una sifa kama za Meena akaenda kuomba kazi kwa Mbowe ukaikosa kwakuwa wewe sio mchaga? Mtakalia hayo hayo ya ukabila wakati wenzenu wanasonga mbele!TanzaniaDaima=Mbowe= Chadema= Chaga = Meena
Nimenote like u
Jambo moja ambalo wengi wenu mtakuwa hamjalijua ni kwamba Kuhamia Tanzania daima kwa Meena ni mwendelezo wa mkakati wa Team Lowassa kuhakikisha ana kila Mhariri katika Kila Media Outlet.
Meena, Kibanda, Balile na Manyerere Jackton ndio ambao walipaswa kuanzisha Gazeti la Jamhuri mwanzoni kabisa wakati Gazeti lilianza huku baadae Kibanda akitakiwa pia kuanzisha Gazeti jingine liitwalo TUENDAKO. Magazeti yote haya mawili yana mkono wa Lowassa katika kujiandaa kwa 2015. Tuendako halijaweza kusimama lakini Jamhuri lilianza chini ya Manyerere na Deo Balile baada ya Meena na Kibanda kuamua kubaki katika magazeti yao ya awali wakati huo yaani Mwananchi kwa Meena na Tanzania Daima kwa Kibanda.
Mkakati ulisonga mbele kwa Kibanda kupeewa Mtanzania ikiwa ni baada ya TUENDAKO kusuasua huku ikitafuta namna ya kuyashika magazeti megine yenye ushawishi. Hatimaye wamelipata Tanzania Daim na amekabidhiwa Meena huku jitihada zikindelea kuyakamata Nipashe, Raia Mwema, na Mengineyo
Kwa ufupi, LowassaTeam is at work na kumpenyeza Meena Tanzania Daima ni Ushindi kwao ingawa Mbowe hajagundua hilo. Mkakati unaendelea
Huyu ni mmoja wa ma comredi wa ukweli kwenye tasnia ya habari.Heshima kwenu,
Nduui wanaJF nimeona nishirikishe habari hii. Mwandishi wa habari na mhariri, ambaye pia katibu wa Jukwaa la Wahariri, Nd. Neville Meena yuko hospitali ya Muhimbili, amelazwa.
Meena alianza kuugua akiwa Tanga karibu wiki mbili zilizopita. Anasumbuliwa sana na maumivu ya kichwa. Alihamishiwa Muhimbili kwa usafiri wa anga. Wenye mapenzi mema wamwombee na kwenda kumjulia hali ila wasiwe miongoni mwa 'wasiojulikana".Siwaamini hawa watu hata kidogo.