specialist88
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 1,140
- 619
Habari ndugu zangu...
Naomba kuulizia kwa anayejua hotel nzuri (ikiwa ufukweni ni vizuri zaidi) inayoweza kutoa Dinner kwa takribani watu 120, vinywaji na n.k kama tafrija ndogo yakuwapongeza maharus baada ya kufunga maharusi.
NB: Wasicharge cost ya ukumbi please.....