Ikulu ni kwa kina Diamond na Idris na si Mapacha watatu toka Geita

Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,551
1,777
Wakuu Habari
Nimefikiri kwa umakini juu ya kuzuiwa kwa wanaharakati watatu tokea Geita kumuona raisi kwa kutokuwa na kibali cha kufanya hivyo.Lakini tumeona ni kawaida kwa watu kama Diamond,Ray C,Idris,Juma Nature,Said Fela pale ni kama nyumbani...sasa napata jibu kuwq ikulu ni kwa kina Diamond tuu na si mapacha watatu toka Geita.kwan hata yule
Kijana aliyeruhusiwa kuingia ikulu baada ya kuendesha baiskel toka kijijini kwao nia yake ilikuwa kumpongeza Raisi ndomana hakupata kikwazo.
Ukistaajabu ya Musa.....
 
Attachments

  • 1420492048712.jpg
    1420492048712.jpg
    23.2 KB · Views: 2,646
  • 1420492068319.jpg
    1420492068319.jpg
    7.5 KB · Views: 2,508
  • 1420492085569.jpg
    1420492085569.jpg
    25.2 KB · Views: 2,407
  • 1420492108757.jpg
    1420492108757.jpg
    11.4 KB · Views: 3,368
Hao waliotoka Geita ilibidi chadema wawaelimishe vijana wao ukitaka kumuona Rais unafata njia zipi, si unakurupuka tu. Ingekuwa hivyo basi kila mtu angeamua kwenda Ikulu na kumuona Rais angekuwa anavaa gunia anaelekeaa Ikulu anaonana na Rais.

Mambo mengine ni ya kijinga kabisa hata inashangaza kuona baadhi ya Watanzania wanashabikia ujinga huo.

Hao vijana wanaonesha jinsi walivyo mapunguani.
 
Kama Idris alivyooigiwa simu...?
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
bwana mapesa fikra zako dhaifu mno. yaani huna upeo wa kufikiri...sasa wakiitwa akina diamond unataka na hao wajinga watatu unaowaita wanaharakati nao waende ikulu? kwanza wamejiunga na jkt? wameingia operesheni ipi? na walipotembea walikuwa wanaunga mkono kitu gani? wameitangaza tanzania duniani? acha uzumbukuku
Wakuu Habari
Nimefikiri kwa umakini juu ya kuzuiwa kwa wanaharakati watatu tokea Geita kumuona raisi kwa kutokuwa na kibali cha kufanya hivyo.Lakini tumeona ni kawaida kwa watu kama Diamond,Ray C,Idris,Juma Nature,Said Fela pale ni kama nyumbani...sasa napata jibu kuwq ikulu ni kwa kina Diamond tuu na si mapacha watatu toka Geita.kwan hata yule
Kijana aliyeruhusiwa kuingia ikulu baada ya kuendesha baiskel toka kijijini kwao nia yake ilikuwa kumpongeza Raisi ndomana hakupata kikwazo.
Ukistaajabu ya Musa.....
 
bwana mapesa fikra zako dhaifu mno. yaani huna upeo wa kufikiri...sasa wakiitwa akina diamond unataka na hao wajinga watatu unaowaita wanaharakati nao waende ikulu? kwanza wamejiunga na jkt? wameingia operesheni ipi? na walipotembea walikuwa wanaunga mkono kitu gani? wameitangaza tanzania duniani? acha uzumbukuku

Kwa hiyo huyo Idris aliyekuwa anafanya ufuska kamtangaza RAIS au?
 
Kwani Kikwete rais wa CCM au rais wa Tanzania?

Very Good Kiranga,kikwete Ni Rais Wa Tanzania,ila Kiuhalisia Ni Rais Wa Tanzaccm.Ndo Maana Wale Vijana Walishindwa Kumuona Na Kuishia Jela,ila Angekuwa Rais Wa Tanzania In Reality,wangemuona Bila Kikwazo.
 
Hao waliotoka Geita ilibidi chadema wawaelimishe vijana wao ukitaka kumuona Rais unafata njia zipi, si unakurupuka tu. Ingekuwa hivyo basi kila mtu angeamua kwenda Ikulu na kumuona Rais angekuwa anavaa gunia anaelekeaa Ikulu anaonana na Rais.

Mambo mengine ni ya kijinga kabisa hata inashangaza kuona baadhi ya Watanzania wanashabikia ujinga huo.

Hao vijana wanaonesha jinsi walivyo mapunguani.

We Mama Ulikunywa Maji Ya Bendera Ya ccm,unatetea Hata Ujinga Hapa,Diamond Ana Impact Gani Kwa Taifa Hadi Aende Ikulu Mara Kibao? Yule Mwendesha Baiskeli Aliyeendesha Ili Akampongeze Kikwete Mbona Hakusumbuliwa? Wale Vijana Ni Kwa Kuwa Walikuwa Wanaenda Ikulu Kukemea Ufisadi Na Kikwete Ni Fisadi,so Asingeweza Kuwapokea,Ray C Teja Aliitwa Ikulu,wht A Nonsense Nation? Nyie ccm ni kama mna laana Inayowatesa,mapunguani Ni Nyie Mliotufikisha Hapa Tulipo,na Siku Yenu Imefika Sijui Mtakuja Kimbilia,kwanza Bring Back Our Money,mna Roho Mbaya Sana Ninyi,mlaaniwe Kabisa.
 
bwana mapesa fikra zako dhaifu mno. yaani huna upeo wa kufikiri...sasa wakiitwa akina diamond unataka na hao wajinga watatu unaowaita wanaharakati nao waende ikulu? kwanza wamejiunga na jkt? wameingia operesheni ipi? na walipotembea walikuwa wanaunga mkono kitu gani? wameitangaza tanzania duniani? acha uzumbukuku

Wewe Ni Mpumbavu Pengine Kushinda Wote Tanzania,diamont Na Domo Lake Alipoitangaza Tanzania Duniani Kuna Lipi Nchi Imepata? Shule Zimekuwa Bure? Huduma Za Jamii Zimeboreka? Wajawazito Hawafi Kwa Kukosa Dawa? Sanasana Misaada Imekatwa Kwa Ufisadi Wenu Wa Escrow,huwa Mnafikiri Kwa Ma.Tako?
 
We Mama Ulikunywa Maji Ya Bendera Ya ccm,unatetea Hata Ujinga Hapa,Diamond Ana Impact Gani Kwa Taifa Hadi Aende Ikulu Mara Kibao? Yule Mwendesha Baiskeli Aliyeendesha Ili Akampongeze Kikwete Mbona Hakusumbuliwa? Wale Vijana Ni Kwa Kuwa Walikuwa Wanaenda Ikulu Kukemea Ufisadi Na Kikwete Ni Fisadi,so Asingeweza Kuwapokea,Ray C Teja Aliitwa Ikulu,wht A Nonsense Nation? Nyie ccm ni kama mna laana Inayowatesa,mapunguani Ni Nyie Mliotufikisha Hapa Tulipo,na Siku Yenu Imefika Sijui Mtakuja Kimbilia,kwanza Bring Back Our Money,mna Roho Mbaya Sana Ninyi,mlaaniwe Kabisa.

Kweli mkuu coz hata huyo diamond sina hakika kama amewahi kufanya tamasha hata moja be it within or out side of the country na akalipa kodi serikalini...zaidi ya kutuimbia mapenzi ambayo kwangu si big deal.
 
We Mama Ulikunywa Maji Ya Bendera Ya ccm,unatetea Hata Ujinga Hapa,Diamond Ana Impact Gani Kwa Taifa Hadi Aende Ikulu Mara Kibao? Yule Mwendesha Baiskeli Aliyeendesha Ili Akampongeze Kikwete Mbona Hakusumbuliwa? Wale Vijana Ni Kwa Kuwa Walikuwa Wanaenda Ikulu Kukemea Ufisadi Na Kikwete Ni Fisadi,so Asingeweza Kuwapokea,Ray C Teja Aliitwa Ikulu,wht A Nonsense Nation? Nyie ccm ni kama mna laana Inayowatesa,mapunguani Ni Nyie Mliotufikisha Hapa Tulipo,na Siku Yenu Imefika Sijui Mtakuja Kimbilia,kwanza Bring Back Our Money,mna Roho Mbaya Sana Ninyi,mlaaniwe Kabisa.

Diamond kwa mara ya kwanza kailetea Tanzania tuzo tatu za mziki kwa pamoja, hao wavaa magunia wanapeleka kuonesha nini ikulu? Magunia?

Mngewaambia viongozi wenu wa chadema wawafundishe njia za kwenda Ikulu, watu hawaendi tu kule kama watakavyo, kuna njia zake za kufata, na hata huyo Diamond hakwenda tu kuna taratibu zilifatwa.

Isitoshe, "usiilalie mlango wazi bahati ya mwenzio", kwa kuwa Diamond kaenda Ikulu basi na wewe ndiyo ujindee tu? huo ni ujuha wa hali ya juu.

Hata kwao wewe wacha Ikulu, unaachia tu kila mtu anaingia? fikiri.
 
Back
Top Bottom