Salamu kwenu Nakumatt Nyerere road

Salamu kwenu Nakumatt Nyerere road

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,901
Reaction score
14,611
Mjitahidi kuheshimu ustaarabu na mambo ya nchi hii ya bongo.
Aliye waambia hiyo inaitwa Pugu Rd. ni yule mnaempaka rushwa?
Tunapenda kuchukua fursa hii kuwataka Duka lenu lililopo Nyerere rd muondoe ile sehemu iliyoandikwa Pugu road.
Hii barabara imepewa jina hilo ikiwa na maana ya kumuenzi muasisi wa taifa hili.
Nina uhakika mnajua jina hilo kwani hata katika ramani zote za ki dunia jina linasomeka hivyo hata ktk GPS.
Hii ni dharau na kiburi cha nyinyi wauza magodoro ya Nakuru.
Salamu zangu kwa leo zinaishia hapo.
Nyaaang'au.
 
Sub-al heri ndugu.Hatare! EA federation tutafika kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom