Recent content by Mzungupori

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni HAKI ya mtoto wa Rais kuishi Ikulu ndogo Chamwino ilhali chuoni kuna nafasi ya kukaa?

    Kumiliki chumba hostel wakati anaishi ikulu ndogo we unaona sawa?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni HAKI ya mtoto wa Rais kuishi Ikulu ndogo Chamwino ilhali chuoni kuna nafasi ya kukaa?

    Na chumba cha hostel c awaachie wengine waishi au na hili unaona c tatizo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni HAKI ya mtoto wa Rais kuishi Ikulu ndogo Chamwino ilhali chuoni kuna nafasi ya kukaa?

    Sasa km anaishi ikulu ndogo hiko chumba cha hostel ya chuo c awaachie wengine au we unaonaje?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa ufugaji wa kuku kuchi

    Soma vizuri ulichokiandika au ushagonga viroba usiku huu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa ufugaji wa kuku kuchi

    Soma vizuri ulichokiandika au ushagonga viroba usiku huu
  6. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Askari wa Usalama Barabarani akichukua Rushwa - Juni 01, 2016

    Ha ha ha cm yake ya mchina camera pixels ndogo na muda c mrefu tcra wanaizima
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nataka kununua kompyuta

    Kwa hiyo Pesa unatapata HP nzuri tu ila dell usinunue zinasumbua sana betri na speakers sio imara
  8. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Askari wa Usalama Barabarani akichukua Rushwa - Juni 01, 2016

    Hv nikiipost facebook tcra hawatanisumbua! Ha ha ha noma sana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Incubetor machine for sale, call 0658100001

    Hiyo mashine ya mayai mangapi na unauza tshs ngapi?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM wampongeza Tulia Ackson, Wakiri wapinzani waliwazidi kete

    Sio waafrica wapumbavu sema ccm ndio wapumbavu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anayekata kiuno sana, kuzaa ni shida

    Mbona lady jaydee huwa hakati viuno na mpaka leo hana mtoto hata shoo yajuzi mlimani city hakukata kiuno na huwa anasema kabisa hawezi kukata kiuno yeye kipaji chake ni kuimba tu kucheza hawezi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako usirudi nyuma katika kuboresha elimu

    Acha kukariri ww mbona mwarami na eden walikua wanafundisha vizuri tuition ya maths kule mchikichini na hawakusoma hata ualimu sasa ndio hao watoto wa udom waje kushindwa kuwa walimu wazuri na ikiwa walifaulu vizuri hayo masomo ya sayansi yani hapo serikali imechemsha kuwakatisha masomo hao...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Stashahda ya ualimu masomo ya Sayansi, Hesabu na Teknolojia UDOM warudishwa nyumbani

    Na bodi yake yote ilovunjwa ni waislam!?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Stashahda ya ualimu masomo ya Sayansi, Hesabu na Teknolojia UDOM warudishwa nyumbani

    Hv kumbe prof.mgaya alokua tcu nae ni muislam?
Back
Top Bottom