dany gamase
Member
- Jul 25, 2014
- 46
- 4
nauza maahine za kutotoleshea kwa bei nafuu
Yaani watu wanatangazaga biashara kama hawataki...ni sawa na kule kupatana eti unakuta mtu kapost gari anauza halafu price eti check with seller...hata kama nahitaji aina hiyo ya gari napitaga tu*Weka features*:
-Inatumia nini, umeme au....
-Uwezo wake wa mayai
-Ni automatic au manual
-Hata bei kama hutajali.