Lol' mmeshapata sababu sasami ndo maana sikatagi kabisa.
Hivi wamakua kwenu ndio rufiji au ntwara?kukaa tuli kama mtungi sitaweza kwakweli
lazima niandaliwe kisaikolojia kwa mda mrefu.....
maisha ya kimakua yameniathiri sana[emoji27][emoji27][emoji27][emoji25][emoji25][emoji25]
waaaapi Luizaaa MbutuuuuuuuuuuuuuuMimi nadhani ukikata kiuno sana kuna hatihati ya kutibua mambo huko kwenye mfumo wa uzazi. si unamuona kiuno.bila.mfu.upa yuko bila bila hadi leo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kuna rafiki yangu msukuma alikutana na mtoto wa kimakonde kupewa mauno jamaa ikabidi amfokee eti "mbona unakwepesha kwepesha" dah
Huyu mtoa mada kama si Mchagga sijui?Haina uhusiano jamani,minna watoto sita mapacha na kukatika wala kukalia nani sijui hakuja nidhuru,umri unachangia sana,hormone,na hata uimara wa mlango wa uzazi,labda usemekuharibika mimba ilasio kuzaa,sijawahi sikia
[emoji12] [emoji12]Huyu mtoa mada kama si Mchagga sijui?
Unavyopenda kuzungusha nyonga sasa adi rahaSio kweli jamani lol... mbona kama hivyo watu wengi wasinge kua na watoto,na walokua wanalala kama gogo wangekua na Team nzima ya Mpira..inakuwaje kwanza mtoto wa kike ulale kama gogo? kwanza ukijishughulisha ndio inakua sababu kubwa ya mr kua na speed..
Gogo limepata mtetezimi ndo maana sikatagi kabisa.
Ivi kweli jamani unalalaje tuuu kama gogo huzungushi kama wachezaji wa Koffi ila kiduchuduchu ile yakumwambiaUnavyopenda kuzungusha nyonga sasa adi raha
Wapo wenzako ni magogo wazoefu wao wanachojua ni kupanua miguu tu[emoji12]Ivi kweli jamani unalalaje tuuu kama gogo huzungushi kama wachezaji wa Koffi ila kiduchuduchu ile yakumwambia
tuko pamoja safarini...lol
Mbona lady jaydee huwa hakati viuno na mpaka leo hana mtoto hata shoo yajuzi mlimani city hakukata kiuno na huwa anasema kabisa hawezi kukata kiuno yeye kipaji chake ni kuimba tu kucheza haweziMimi nadhani ukikata kiuno sana kuna hatihati ya kutibua mambo huko kwenye mfumo wa uzazi. si unamuona kiuno.bila.mfu.upa yuko bila bila hadi leo
Kwahivyo wao wana Team nzima ya Mpira?lolWapo wenzako ni magogo wazoefu wao wanachojua ni kupanua miguu tu[emoji12]