breki sifungi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 694
- 409
najua wengi na hasa wazungusha mikono watatokwa na povu.
uamuzi wa serikali kupitia waziri wa elimu wa kuwasimamisha masomo zaidi ya wanafunzi 7000 wa chuo kikuu Dodoma ni mpango mzuri hasa ukizingatia lengo la uanzishaji wa kozi waliyokua wakiisomea na uwezekano wa wao kumudu kufundisha kidato cha 1-4. kwa mtu yeyote mwenye mapenzi mema na elimu yetu atakubaliana na mm kua hao wanafunzi ni bora wasambazwe kwenye vyuo mbalimbali vya elimu nchini ili wakaendelee kuandaliwa kua waalimu wa shule za msingi na sio sekondari. katika kujaribu kurudisha ubora wa elimu yetu ni kweli kwamba kuna watu watakua wahanga wa mabadiliko hayo. kizuri zaidi serikali imesha sema inawasimamisha kwa muda mpaka hapo kutakapo tolewa uamuzi mwingine, tusubiri tamko la serikali huku tukipongeza uamuzi huu wa sasa, hutaki andamana