Recent content by MZOMOZI

  1. M

    Sitta akata tamaa mbio za urais 2015

    Usimsemee mtu kwani nani mpaka sasa kasema atawania urais mwaka huo.
  2. M

    Ukweli kuhusu hali ya mh. Zitto Kabwe - 29 Oct 2011

    Umesaidia saana saana kuliondoa taifa katika taharuki ya imani potofu kwamba sasa viongozi wetu wanaugua kwa mkono wa mtu.
  3. M

    Mzee wa upako: CCM ya Kikwete ni mbaya kuliko rais Gaddafi

    sijambo zuri sana kuchanganya siasa na dini.Waweza zua mkanganyiko katika jamii.
  4. M

    JK, iliwezekana, mbona sasa kimya?

    mbona jibu unalo mambo ya uchaguzi hayo
  5. M

    Wabunge wakomaa: Ngeleja, Jairo watakiwa kuondoka; Pinda ataka mjadala uahirishwe kwa siku 21

    hivi hizo siku za ziada watakazokaa wabunge kuipitia upya zitalipwa na nani? Wanajamii nisaidieni.
  6. M

    Dawa za kulevya: Viongozi wa dini sasa wajisalimisha; Wakiri kufanya biashara hiyo muda mrefu

    Litakuwa ni jambo la kusikitisha sana kama kweli hao watu hawatatajwa hadharani.jambo ambalo litafanya vita dhidi ya wazungu waunga kuwa haina maana kabisa.nibora hiyo kamati ifutwe.
  7. M

    Libya yazima Mohammed Enterprises

    nashukuru sana kwa kutuweka sawa.kweli ushabiki wakati mwingine ni upofu
  8. M

    Baba changanyaaaaa!!

    haaaaaahaaa ama baba changanyaaaaaa mpaka------------kielewekeeeee
  9. M

    Baba changanyaaaaa!!

    haaaaaahaaa ama baba changanyaaaaaa mpaka------------kielewekeeeee
  10. M

    Kasuku huyu nae!!

    akiinua miguu yote ataruka nahuo ndoo mwisho wa kuoongea.
  11. M

    Watu wa Mbeya bwana! na majina yao.....

    hii kali zaidi.sasa jinsia yake?
  12. M

    Mkorogo!

    Bila shaka atakuwa mwenyekiti twa mashoga
  13. M

    Hoseah amefanikiwa kupambana na rushwa?

    kilichopo ni mchezo wa kuigiza kila mwaka kuna kesi za vigogo zitafunguliwa lakini hatuzioni.siioni kazi ya hosea.
  14. M

    Mahakama yatoa Amri Askofu Mokiwa na Wenzake wakamatwe kwa kutotii mahakama!

    na sasa ni ugomvi na sheria/mahakama
Back
Top Bottom