Hoseah amefanikiwa kupambana na rushwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hoseah amefanikiwa kupambana na rushwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mtutuma, Jun 15, 2011.

 1. m

  mtutuma Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo jumatano tarehe 15.06.2011 kuna kongamano la mwaka la kitaifa la kupambana na rushwa hapa ubungo plaza, tayari limeanza na kati ya watu naowaona meza kuu ni pamoja na chikawe(waziri), hoseah, mengi reginald na wadau wengine,
  Natarajia kuwapa updates zote muhimu.
   
 2. m

  mtutuma Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wameanza presentation tume ya maadili ya viongozi wa umma, wanasema wao wamefanya kazi kubwa sana ya kudhibiti viongozi wasio na maadili na kuwa kuna kesi 20 za viongozi wakubwa ambao hawakujaza fomu wataziwasilisha kwenye tume ya maadili.
   
 3. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Ktk ile taarifa ya wikileaks, Hosea alimtaja Kikwete kuwa ni kikwazo cha kuondoa rushwa nchini.

  Muulizeni kama bado Kikwete ni kikwazo. Kama ni hivyo hana sababu ya kufanikiwa ila tutauliza kwa nini hajajiuzuru.
   
 4. M

  MZOMOZI Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kilichopo ni mchezo wa kuigiza kila mwaka kuna kesi za vigogo zitafunguliwa lakini hatuzioni.siioni kazi ya hosea.
   
Loading...