naninibaraka
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 910
- 668
Hivi karibuni akizungumza ITV mh.sitta alionglea swala la urais 2015 na kusema hana mpango wa kugombea,kauli hii ya sitta ni kauli ya mtu aliyekata tamaa,kwanza amegundua kuwa ndani ya chama chake hakubaliki,la pili swala la kuasi chama chake na kuanzisha CCJ la tatu wananchi wamemchoka kutokana na kauli zake za uchonganishi,sitta ameona kwenye mbio hizi za urais haziwez amebaki akilalamika kwa kuukosa u speaker,sitta ni mtu wa visasi na kwa kuwa swala la urais limeshampitia pembeni atabaki akichawafua washindaji wake kwenye siasa tusubir tumpe mda tuone