Recent content by mzeluu

  1. M

    JamiiForums Tanzania DEO Kwimba sijui kafanyiwa umafia!!

    Mbona mnamshambulia,tungemsihi alete taarifa yenye kueleweka na sii mambo ya mishahara hapa..au dv 5..
  2. M

    JamiiForums Tanzania Samaki waotesha wanaume matiti, wanawake ndevu

    Mmh kazi ipo ,tena mm ni mpenda samki wa hapa Soko LA Soweto na Kabwe acha niache kabisa kuwala nisije anza kuvaa sidilia
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uhamisho na ndoa za watumishi wa umma

    Mkuu nimehamishwa Niko mbeya kwa ss..but ajira yake ilitok Tabora 3years now ,ninachozungumza hapa ameomba uhamisho wanamwambia hadi atafute mtu wa kubadilishana nae..
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uhamisho na ndoa za watumishi wa umma

    Ni mmoja wa wahanga wa hii issue mke wangu yupo Tabora nimeomba uhamisho ahamie mbeya nambiwa atafute mtu wa kubadilishana ,asipopatikana ndio tutaendelea kuishi hivi kweli..nafikiria kufunga safari kwenda TAMISEMI kulallamika juu ya hili...maana psychologically ..naadhirika San..
  5. M

    JamiiForums Tanzania Basi lililozama baharini Kigamboni laopolewa huku likiwa limeibiwa baadhi ya vifaa...

    TFDA wana retain_ wana scrap@ nipe ufafanuzi hapo Coxson TFDA wanahusika vip hapo..Ku retain gari..
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa gari TOYOTA RAV4

    Zinapatikn kwa sh ngapi used nampango wa kununua
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yawakutayo waganga wa kienyeji

    Haya mambo mwanzo kuzungumza ilikuwa ni siri kubwa sana,hongera Mshana kwa kutufunilia hay..
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kijiji hatari cha Wachawi Tanzania

    Hicho kijiji ni zaidi ya Kile cha kwa cheng ...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mtoto Anja Ringgren Loven atupwa mitaani kwa kudhaniwa Mchawi, afya yabadilika na kushangaza Dunia

    Halafu baadae mama aanze ooh mwanangu nisanehe
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tulivyokuwa tukiiba almasi mgodi wa Mwadui na wenzetu kuuawa

    Ngaliba haswaaa...tunasubiri habri ya lebanoni ,cha msingi zingatia SHERIA ya kazi yako
  11. M

    JamiiForums Tanzania Inauzwa Cresta gx100 3.5 milion

    Pich tafafhari
  12. M

    JamiiForums Tanzania SUMATRA na ratiba mpya ya mabasi

    Ratiba haionekani mleta mada tuletee tena,ila mm ni mmoja ambaye safari za usiku nazipenda sana,S's sijui tumefuka mwisho wa kufikiri au nn uvivu wa kutafuta maoni ya wadau wa usafirishaji...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Binti Ajinyonga, aacha majina ya watu anaowadai wamlipe

    Tujifunze kutatua matatizo yetu kwa kuzungumza si kuchukua maamuzi...R.I.P Dada wew
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jionee ukaguzi wa Polisi wa Uganda kwa Wanawake

    Wanakagua kama wamevaa nepi si unajua joto LA Uganda kama bongo tu..ukaguzi huu ukija bongo itakuwa Nouma sana...
Back
Top Bottom