Ajali Manyoni: Basi la Leo Luxury Coach (Dar-Mwanza) lagongana na Fuso, dereva wa Fuso afariki dunia

koplo

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
574
153
Basi la Leo Luxury Coach limepata ajali ya kugongana na fuso hapa Manyoni, dereva wa fuso amefariki.

Abiria wa basi wote wazima, inasemekana fuso lilikosa breki wakati likishuka mlima.

1463929554701.jpg
1463929589746.jpg
1463929615037.jpg

1ac682545204c2e6361b5b801bcc4b46.jpg

dd9fa66918a6947562689bcd7ffddf7b.jpg
 
hii seemu inatwa mbwasa chini ya mlima sukamahela,kunamteremko mkali na kona kali kama inavyoonekana,bahati mbaya madereva wakishamaliza mlima wakiwa wanateremka hua wanaachia breki bila kujali kona ya hapo,r.i.p dereva,hiyo kona ilimpoteza mwalimu wangu wa primary
 
Gari zenye mabreki ya upepo zina tabu sana. Hizi Fuso zimenyonga wengi. R. I. P
 
Back
Top Bottom